ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Azoma Ta Azoma Te! POPOMA.
Oloba pamba ndenge nazaritee....
Solola bie
Azoma Ta Azoma Te! POPOMA.
oloba pamba ndenge nazaritee....
Solola bie
Halafu mimi maisha yangu yote najua Roga Roga ni yule Jamaa mweupe, kumbe ni yule mwenye upara, Ameua sana kwenye OYO EKOYA EYADah..Extra Musica, Extraa Musica!!!!
Hii bendi enzi hizo ikiwa na wenyewe ndio nilikua naiona tamu sana, Ukitaka kuoa viwango vya akina Oxygene, Rousen, pappy bastin, DouDou na wengine cheki video ya Aigle Imperial. Hii Extra ya miaka hii kiukweli Roga Roga ameidominate sana..jamaa pekee anaenivutia sana ni Kassoumbalessa hasa kwenye Mogomboro na Gael Bitoma katupia sauti safi saana huyu.
Pamoja na kuheshim maelezo mazuri ya kundi la Extra Musica uliyayatoa, lakini kutaja jina la Jules Kibens kwenye wanamuzik wa Extra Musica lazima uweke maelezo vizuri, je hao wanamuziki wa Extra Musica alikutana nao Kinshansa au Brazzaville? Je huyo Jules Kibenga(Kibens) ni kutoka Congo RDC au Congo Republic?(Kinshasa au Brazzaville)Halafu nikushauri vitu kama hivi huvipati vyuoni wala darasani. Hakuna mahala nimesema Jules Kibens alikuwa mwimbaji wa Extra Musica kaka. Uwe mwelewa na elimu yako hiyo ya chuo unayojivunia japo sijui una elimu gani na umesoma chuo gani. Usikurupuke mimi nimeonesha Roga Roga alikutokea na alikuwa na akinanani kabla ya kuja Extra Musica na sijasema huko alikotokea na kuja Extra Musica kuwa alikuja na Kibens. Mbona kitu kidogo tu na huelewi alafu unaleta mbwembwe eti chuo, elimu zenyewe za kibongo za kukalili article za wenzetu ndio unitishe. No research no right to speak brother
Kikundi cha utamaduni( ukataja kikundi na mji) kisha ukamtaja muimbaji wa kundi hilo la utamaduni na mwenzie Jules Kibens, swali sasaKuhusu ulichouliza, hichi ndicho nilichoandika
"Tofauti na wenzao walioanzia uimbaji wa kwaya katika makanisa mbalimbali, Quentin Moyascko alikuwa akiimba mitaani huko Talangai na Roga Roga alikuwa ni mwanachama wa kikundi cha utamaduni huko Roi Bongol Le Grand Mumboshi akiwa na wengine kama Papy Bombé(aliekuja kujulikana kama Papy Kakol) na Jules Kibens."
Nikushauri ni bora uwe unasoma unaelewa kabla ya kukulupuka
Kikundi cha utamaduni( ukataja kikundi na mji) kisha ukamtaja muimbaji wa kundi hilo la utamaduni na mwenzie Jules Kibens, swali sasa
Hilo kundi lilikua nchi ya RDC/DRC au Congo Brazzaville, kwa maana ya mji ulioutaja uko nchi gani?
Kama ni Congo Brazzaville, je Jules Kibens alizaliwa na kukulia Congo Brazzavile na baadae kuhamia CONGO KINSHASA ambako baadae akajiunga na Wenge BCBG? Kuhusu Jules Kibens na uhusiano na Extra Musica ndugu Roga Roga naomba uniweke sawa, maana inacontradict kidogo!
Kikundi cha utamaduni( ukataja kikundi na mji) kisha ukamtaja muimbaji wa kundi hilo la utamaduni na mwenzie Jules Kibens, swali sasa
Hilo kundi lilikua nchi ya RDC/DRC au Congo Brazzaville, kwa maana ya mji ulioutaja uko nchi gani?
Kama ni Congo Brazzaville, je Jules Kibens alizaliwa na kukulia Congo Brazzavile na baadae kuhamia CONGO KINSHASA ambako baadae akajiunga na Wenge BCBG? Kuhusu Jules Kibens na uhusiano na Extra Musica ndugu Roga Roga naomba uniweke sawa, maana inacontradict kidogo!
Mkuu CHAZA nitashukuru ukini wekea audio za Wenge BCBG Album ya kalaye boinge & PentagonKwa wenge mimi ni mnazi! Ninazo nyimbo zote kali za album mbalimbali na matamasha pia! Nina Album mzima ya Ndombolo, Kalay Boeing, Pentagone, Hi Ho Ha, TH I&II, Zenith 1999, Papito.Mbala version II, Ndombolo II( Wimbo wa ndombolo ulirudiwa na kuboreshwa sawa na Papito Mbala uliboreshwa), Titanic, Internet! Album mpya nyimbo zake sizifahamu! Album ambazo sizipendi kabisa ni Ant Terror( hii aliukashif Uislam na DRC alipata misukosuko, hata hivyo nyimbo zake hazikuvutia pia) Album ya Kipe ya Yo nayo sikuipenda! Ukiondoa hizo Wenge ni chaguo langu! Nyumbani ndugu na jamaa wakisikia wenge husema rafiki yako huyo JB anapigwa redioni


Pentagon ninazo No Comment Shenghen pamoja na Filandu. Jinsi ya kuziweka sina uhakika sana
Aiseee,ahsante sana kwa haya madini. Barikiwa sana. Ipo nadharia kuwa kundi la G7 liliasisiwa kuliua kundi la Extra Musica na hata Wenge,ilikuaje lilisambaratika ghafla? Kiukweli walileta ngoma kali sana kwenye Album yao mpya ya Ca aver(spelling error)!huyu mzazi wake mmoja ni from brazaville, na walikuwa ni wanachama yeye, papy kakol na roga roga katika vikundi vya utamaduni enzi za ujana wao kabla wao (kibens na kakol ) kujiunga na kundi liitwalo patrouille des stars, kundi hili lilikuwa huko congo brazaville na wakati huo tulitegemea lingeleta upinzani wa juu kwa Extra Musica lakini haikuwa hivyo, kwani kiogozi wao (simkumbuki jina ) alifariki miaka ya 90 (kama sijakosea ni 19996) na wao (kakol na Kibens) kuhamia kinshasa na huo ukawa mwisho wa kundi hili la patrouille des stars na mwanzo mpya wa kibens na kakol kinshasa. Bonyeza link hiyo uone moja ya nyimbo za kundi la patrouille des stars (kibens na kakol wakiwa brazaville)
Okala
Link mbona haifunguki?