Historia ya Escape from sobibbor

Historia ya Escape from sobibbor

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,424
Reaction score
18,454
Nani mwenye kujua historia hiyo vizuri, nimeona Ile movie ikieleza na kuonyesha hali ilivokuwa wakati huo.
Naombeni na picha za wakati huo na sasa
 
Kuna kitu wajerumani walijua kuhusu hawa wazayuni lakini hawakutuambia, na kuanza kuwauwa kama mifugo....
 
Walizunguka Ulaya nzima kuwatafuta na kuwakusanya kila sehemu na kuaanza kuwaua kwa kila njia yeyeto inayowezekana kuua binadamu, kuanzia kuwachuna ngozi na kutengeneza mapambo, kuwachoma moto mpaka majivu, kuwapulizia gesi ya sumu au moshi wa gari, kuwachoma sindano za sumu kwa majaribio ya sumu gani inaua binadamu haraka, na njia nyingi lukuki usioweza kuamini .......
 
Nani mwenye kujua historia hiyo vizuri, nimeona Ile movie ikieleza na kuonyesha hali ilivokuwa wakati huo.
Naombeni na picha za wakati huo na sasa
Sobibo Mzee Baba Hitler aliwahukumu Wayahudi kwa kosa la kumuua Yesu kwa hio akasema atawaua wote hatomuacha Myahudi hata mmoja ndio ikaja hio issue ya Sobibo lakini pia kuna Schindlers List hio pia wanakula kibano pia, sema jamaa wana akili hio ndio shida nyingine
 
1750205513671.png

1750205636364.png
1750205581186.png
 
Sobibo Mzee Baba Hitler aliwahukumu Wayahudi kwa kosa la kumuua Yesu kwa hio akasema atawaua wote hatomuacha Myahudi hata mmoja ndio ikaja hio issue ya Sobibo lakini pia kuna Schindlers List hio pia wanakula kibano pia, sema jamaa wana akili hio ndio shida nyingine
Toa upupu wako hapa
Hakuna stori za yesu kwa Hitler
 
Back
Top Bottom