Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,499
Umesema kweli mkuu nakumbuka muimbaji mmoja alisema hapa mjini nenda pole pole . Haya ngoja tuwaache wenyewe wa mujini wajadili lolHa ha haaaa.. mji wa watu huu síe wakuja inabidi tutembee kwa step, sio unakuta waliozaliwa Muhimbili vitovu vyao vikafukiwa Kinondoni afu wamekulia Ilala wanaongea stori zao na wewe unaingia kichwakichwa.. inabidi uwe mpole kwanza..