Historia inaonyesha wakati wa vita (kisiasa, kiuchumi au wenyewe kwa wenyewe) ni sahihi viongozi kutumia matamko kuliko sheria

Unahangaika na mtu anaenda mbele hata hajui anelekea wapi? Ni vitu vingapi vinatengenezwa nchini na hatujawahi sikia zinatangazwa tenda, huyo ni mbishi tu ukimwambia alete ushahidi atazunguka na maneno tu. Kma analo jibu muulize ile gari iliyonunuliwa na chadema ilitangazwa tenda?
Unazijua tender ngapi za nchii hii mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalazimisha mambo ambayo huna ushahidi nayo.

Nipe ushahidi kwamba Magufuli kuna kitu kibaya amenifanya.

Weka ushahidi hapa tujue unajua unachoandika, na si kwamba unaandika uzushi tu.

Magufuli kaipa familia yangu nyumba yenye thamani ya mamilioni ya US dollars, Oysterbay Dar es salaam.

Sasa kama unaongelea mimi kuwa na chuki binafsi na Magufuli, ninaanzaje kuwa na chuki binafsi na mtu aliyeipa familia yangu nyumba ya mamilioni ya USD Oysterbay?

Ningekuwa mtu wa kuangalia mambo personally, nilitakiwa kuwa namuimbia Magufuli mashairi ya kumsifu.

Kwanza Msukuma mwenzangu, kisha kaipa familia yangu boonge la shavu.

Lakini, siangalii hayo, naangalia principle. Unaelewa maana ya principle?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwapa nyumba? For free? Nitajuaje kama unanidanganya, labda ww si msukuma. Look, you sound so bitter, like everything has crushed and there is nothing good coming from his leadership, whilst plenty people in Tz are happy and you are abroad i guess.
Chill! Principles are man made, they change sometimes are not useful need to be changed some are not adhered but nuthn falls apart.
Mbona marekani waliachana na principles wakamwongezea rais wao nimemsahau jina, muda wa kuongoza nchi. Mbona us hawafuati principles mid east.
Do u adhere to all principles.
Wacheni hizi mambo haters wa magu. Principles ngapi zilivunjwa na JK mbona sikukusoma ukimpinga kwa nguvu kama umpingavyo magu, mnajikuta peerfeect

Hiiiiiii
tapatalk_1577999380187.jpeg

dodge
 
Hijathibitisha kwamba mimi namchukia Magufuli.

Kumpinga mtu kwa sababu hukubaliani na sera zake za kisiasa si kumchukia.

Ukilazimisha kwamba kumpinga mtu kwa sababu hukubaliani naye kisiasa, ni lazima iwe chuki, utakuwa umefilisika hoja.

Na hatuwezi kuendelea na mjadala wa maana.

Maana hata mimi nitasema unanichukia ndiyo maana kila nikitimiza haki yangu ya kikatiba ya kumkosoa Magufuli, wewe huoni hiyo kama haki yangu ya kikatiba.

Unaona chuki tu.

Nitasema unafanya kile wanasaikolojia wanachokiita "projection".

Kwamba kwa sababu akili yako inaishia kwenye chuki tu, ukiona mtu anapinga kitu kwa misingi ya mrengo wa siasa, wewe unachoishia kuona ni chuki tu.

"Magufuli is a country bumpkin.
He is an irrational, inconsistent, ignoble, irritable, imbecilic ignoramus"

That is deep rooted hate, than kupingana kisiasa alone. Ati irrational, are u rational, sasa shuhudia end of this 2020 uone your irrational anavyoshinda kwa kishindo afu uje useme tz's are irrational.

Kila neno linaweza kuwa backed na fact, unataka tuchambue neno moja baada ya lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka sehemu bajeti ilipoidhinisha manunuzi ya ndege, weka sehemu tenda ya manunuzi ya ndege ilipotangazwa.

Unaelewa kwamba Magufuli kakataza hata CAG kuangalia vitabu vya ATC?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga,
25. Honourable Speaker, the Fifth Phase Government is implementing with honor the promises in the CCM Election Manifesto (2015) which are also articulated in the National Five Years Development Plan 2016/17 – 2020/21; and the priorities highlighted by His Excellency, the President of the United Republic of Tanzania, during the inauguration of the 11th Parliament on 20th November 2015.

......
28. Honourable Speaker, among the achievements attained in the implementation of the CCM Election Manifesto (2015) during the three and half years of the Fifth Phase Government include: (i) Construction of Central Railway Line to Standard Gauge, whereby up to April 2019, construction of the Dar es Salaam - Morogoro Section (300 km) has reached 48.9 percent and Morogoro - Makutupora section (422 km) is at 7.12 percent. Completion of the project will improve transport services and facilitate movement of goods (agriculture produce, livestock, mines and forestry produce) and passengers to and from the neighboring 15 landlocked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, DRC) and enable Tanzania to be a trade and logistics hub in the Great Lakes Region. Further, this project will reduce wear and tear of roads emanating from transportation of heavy cargo trucks, reduce cargo congestion at the Dar es Salaam Port and therefore creating employment opportunities; (ii) Revamping of Air Tanzania Company Ltd. (ATCL), whereby up to April 2019, a total of six aircrafts were procured and are already in operation for domestic routes (Dar es Salaam, Mwanza, Bukoba, Kigoma, Tabora, Dodoma, Iringa, Mbeya, Songea, Mtwara, Arusha, Mpanda) and international routes (Hahaya – Comoro, Lusaka, Harare, Entebbe, Bujumbura). Moreover, a new aircraft, Boeing 787-8 Dreamliner and Bombardier Q400 are expected to be delivered at the end of 2019. In the near future, ATCL is expected to start flying to Mumbai (India), Johannesburg (South Africa) and Guangzhou (China). Improvement of the air transport will contribute to the growth of the trade and tourism sectors;

SOURCE:https://mof.go.tz/docs/news/BUDGET FINAL JUNE 12 2019 ENGLISH.pdf
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Usimfananishe FDR na vitu vya kijinga.

FDR kaitoa US kwenye depression na kaiokoa dunia dhidi ya majeshi ya Hitler.

Magufuli anajipiga risasi mwenyewe mguuni kabla ya kuanza mashindano ya marathon.

Magufuli hajui anataka nini.

Na hivyo vita ya uchumi haiwezi.

Ndiyo maana anamfukuza kazi Waziri kwa kuingia mkataba bila idhini ya bunge, wakati yeye mwenyewe Magufuli ni kinara wa kufanya manunuzi bila idhini ya bunge.

Magufuli is a country bumpkin.
He is an irrational, inconsistent, ignoble, irritable, imbecilic ignoramus.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga the atheists

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your facts can be nonsense to someone else

Sent using Jamii Forums mobile app
Facts are facts. There is no such thing as "your facts".

You have no basis to stand on, therefore you are disputing any basis.

Magufuli dropped the revenue from agricultural products sold outside Tanzania by 55% in just one year ending August 2019.

Tha Bank of Tanzania report of September 2019 has that fact.

He did that primarily by bungling the cashewnuts market.

Are you disputing that this drop is not a fact?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
25. Honourable Speaker, the Fifth Phase Government is implementing with honor the promises in the CCM Election Manifesto (2015) which are also articulated in the National Five Years Development Plan 2016/17 – 2020/21; and the priorities highlighted by His Excellency, the President of the United Republic of Tanzania, during the inauguration of the 11th Parliament on 20th November 2015.

......
28. Honourable Speaker, among the achievements attained in the implementation of the CCM Election Manifesto (2015) during the three and half years of the Fifth Phase Government include: (i) Construction of Central Railway Line to Standard Gauge, whereby up to April 2019, construction of the Dar es Salaam - Morogoro Section (300 km) has reached 48.9 percent and Morogoro - Makutupora section (422 km) is at 7.12 percent. Completion of the project will improve transport services and facilitate movement of goods (agriculture produce, livestock, mines and forestry produce) and passengers to and from the neighboring 15 landlocked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, DRC) and enable Tanzania to be a trade and logistics hub in the Great Lakes Region. Further, this project will reduce wear and tear of roads emanating from transportation of heavy cargo trucks, reduce cargo congestion at the Dar es Salaam Port and therefore creating employment opportunities; (ii) Revamping of Air Tanzania Company Ltd. (ATCL), whereby up to April 2019, a total of six aircrafts were procured and are already in operation for domestic routes (Dar es Salaam, Mwanza, Bukoba, Kigoma, Tabora, Dodoma, Iringa, Mbeya, Songea, Mtwara, Arusha, Mpanda) and international routes (Hahaya – Comoro, Lusaka, Harare, Entebbe, Bujumbura). Moreover, a new aircraft, Boeing 787-8 Dreamliner and Bombardier Q400 are expected to be delivered at the end of 2019. In the near future, ATCL is expected to start flying to Mumbai (India), Johannesburg (South Africa) and Guangzhou (China). Improvement of the air transport will contribute to the growth of the trade and tourism sectors;

SOURCE:https://mof.go.tz/docs/news/BUDGET FINAL JUNE 12 2019 ENGLISH.pdf
Sijaona bajeti iliyopitisha manunuzi ya ndege, sijaona tender ya manunuzi ya ndege.

Hapa umeweka hotuba inayoeleza ndege zimenunuliwa tayari, haielezi hata kwa kiasi gani.

Hakuna bajeti isiyo na namba za matumizi. Unaelewa hilo?

Bajeti haikamiliki kwa kuelezea matumizi yaliyokwishafanyika, huo ni muktadha wa kihistoria. Bajeti inapanga matumizi yatakayofanyika. Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba hujajibu swali langu?

"Kiranga, you are sick
 
"Kiranga, you are sick
Hujajibu maswali niliyouliza.

To be human is to be sick.

Mavi kuwa tumboni mwako tu ni ugonjwa tayari. Ndiyo maana pengine ukitaka kunya tumbo linakuuma.

Acha ulimbwende usio tija.
 
Kiranga, tuonyeshe wewe basi kilichoachwa kufanyika badala yake mgawo wake ukanunua ndege
 
Hatujamaliza la bajeti ushakimbilia lingine?

Umekubali kwamba Magufuli kanunua ndege bila kufuata bajeti wala kuwa na tenda ya wazi?
 
Kiranga, nilikuwa nataka kuthibitisha tu nilichobaini kuwa you are sick- nimepata hili jibu sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom