Ccm wataachia nchi Kama Nyerere kwa kushindwa kupata Mikopo , misaada na utalii kujifia.
Na viongozi watakimbilia uhamishoni kuomba hifadhi
History tends to repeat it self
Maanadamano ni VITA ya watu wajinga in this era.
Wao wanaogopa nchi kukwama kiuchumi na kukosa misaada hilo tu. The rest ni waste of time.