Interesting. Lakini haikuwa hivyo, mgawanyo wa majukumu ya kijamii na kifamilia, yaliweka utengenezaji pombe kama ni kazi ya nyumbani, hivyo ni wanawake ndio waliokuwa wakifanya shughuli hiyo. Kipindi hicho haikuwa biashara inayolipa. Miaka mingi baada ya kuwa ni biashara nzuri, mfumo dume ukaitawala industry hiyo na ikapenyezwa mambo ya kidini na kisiasa, wanawake wakatupwa nje ya industry hiyo. So, lengo halikuwa ni suala la kuwalaghai wanaume ili wachepuke.