Historia fupi ya marehemu UKAWA

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86

Naamini mmeona chanzo kwa hiyo mimi siyo Katabazi.
 
kamandawasua
Habari ziwafikie: CCM na wanachama wao wote popote walipo. Wasaliti wote waliopinduwa maoni ya wananchi. Misukule yote ya wajumbe wa bunge la katiba.Aliekuwa mwenyekiti wa misukule. Wapendwa wote wa marehemu Ukawa kwa niaba ya watanzania wote. kizazi kijacho cha watanzania. Mafisadi na wahujumu uchumi wote wa ndani na nje ya nchi. Wasaliti waliofanikisha dili ya kupinduwa thuluthi mbili ya kura za Zanzibar. Makundi yote yaliyotumika kubeba ajenda ya CCm wakiwemo vijana, walemavu, wavuvi, wakulima na wafugaji . Na kila anaehusika na msiba huo. Maiti itazikwa tarehe 8/ 10/2014 saa 8 za mchana katika MAKABURI YA DODOMA machinjio ya HAKI ZA WATANZANIA. Bwana ametwaa. MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, ZANZIBAR, TANZANIA . RIP UKAWA KWA NIABA YA WANANCHI.
 
Last edited by a moderator:
Katabazi , yule mtoto wa nani hii aliyekuwa waziri umeshampelekea baba yake ? Na yule mwingine wa yule Hakimu sijui Jaji vipi?
 
Huyu Happy anatafuta ukuu wa wilaya mwishoni? kweli watu weusi ni wapuuzi sana
 
Its beyond ridiculousness.

Dont you feel ashamed of yourslf to stand here and playing this POLITICAL PONOGRAPHY and insulting walalahoi wa nchi hii??

Mna laana nyinyi.

I am telling you guys hii katiba itawatokea puani.

Subirini muone.

Nawahurumia sana Watanzania kushabikia vifo vyao wenyewe. Kama ulivyosema Mkuu, subiri tuone. Vijana wa zamani tulikuwa tunasema, 'yetu macho'!!
 
Nawahurumia sana Watanzania kushabikia vifo vyao wenyewe. Kama ulivyosema Mkuu, subiri tuone. Vijana wa zamani tulikuwa tunasema, 'yetu macho'!!

CCM imetengeza katiba hii kwa kulinda maslahi yake.

Na sio maslahi ya taifa na kizaz hiki cha sasa na cha baadae.

Wanapotokea hawa waandishi njaa kunyanyua kalamu zao kisha kuwasifu na kuwatukuza huku akijua fika kwamba katiba hiyo pendekezi ni mwiba mkali kwa walalahoi ni kutafuta laana ya mungu ya waz waz kabisa.
 
Huu ni mrejesho wa Kazi ya akina Chenge,sijui wale wanaofundisha Sheria vyuoni na kukuta mwanafunzi wake anakuja na mipasho kama hiyo sijui anajisikiaje?
Au ndiyo zile vyeti vya >>>>>>>>>>pi.








 
Kabla ya kifo Ukawa alitoa wosia na kutaka wananchi wawaepuke viongozi wa CCM wanapita mikoani na kumwaga maradhi ya kuambukiza. wasizikaribie ofisi zao huwa wanamwaga vimelea na virusi vya maradhi mbali mbali kama Dengue ,ebola na mengine tele ,ni hatari hata kupendelea kuingia kwenye maofisi ya CCM kutokana na athari ,hata kule wanakomaliza kufanya mikutano wakiondoka tu ,kunakuwa na maradhi ya milipuko yanaibuka inasemekana ni wao huwaachia maambukizi wananchi.
 
Happy katabazi ndo nan? Mbna hatukujui? Jittambulishe kwanza tukujue
 
Pole Katabazi.Hivi kwa akili yako unadhani katiba hiyo ya majambazi itapita?
Katiba unayoishabikia inasema hivi:
  • Hakuna ukomo wa ubunge
  • Kuweka fedha kwenye akaunti ya nje ruksa (mafisadi wote wana akaunti nje ya nchi wakiongozwa na Chenge)
  • Uadilifu, uwajibikaji, uwazi havifai kuwa tunu za taifa (mikataba ya siri ndiyo roho ya mafisadi)
  • Mawaziri lazima wawe wabunge (watawakilisha saa ngapi majimbo yao?)
  • Mbunge haruhusiwi kuwajibishwa na wananchi wake hata kama haonekani jimboni kwa muda mrefu.
  • Ubunge ni sifa ya kuwa spika (chama lazima kilindwe bungeni na mlinzi huyo ni spika) nk
Ninahisi wewe Katabazi una roho ya ufisadi mama.Kama Mungu yu upande wetu,ni nani aliye juu yetu? Wakati ukifika utakapoona yakitokea mambo usiyotarajia,nina wasiwasi BP itakuwahisha kuzimu.
Maandiko yako kwenye ukuta mama,kidole kinaandika mambo yasiyoeleweka.Kama Belshaza,ccm inajiona iko salama kumbe kifo kinagonga mlango.Nakushauri mama katabazi uanze kusoma katikati ya mstari.
 
Baada ya kupewa kazi Bagamoyo University ya kiundugunaizesheni wakati hata sifa za elimu ya hiyo kazi uliyopewa huna, sasa umeanza kulipa fadhila kwa kuandika ukanjanja wako.
kamandawasua
 
Last edited by a moderator:
UKAWA walisusia Mchakato wa Katiba ulipokuwa Bungeni kama Wajumbe ila sasa wanajiandaa kushiriki kama wananchi kwa Kupiga kura ya Hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…