leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Unataka ugegede sasa au sioNimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna muda hata kuongea japo nampenda na wala siwez fanya chchte pasipo yeye kutaka mie nataka attention yake nimechoka simu tu na kuwa mpenzi mtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba mie niko mature enough na wala sihitaji ngono ila hatujawahi kukaa tukaongea mahusiano yetuSubiri mkue kue kidogo..Mambo yapo mtainjoi tu
Hatujawahi tumiana na wala hatujawahi jadili hukusu hatua ya ngonoMmetamaniana,mmetumiana alafu mmechokana..maisha yanaendelea.
Hahaaaa hapna unapo kuwa na mpenzi kuna nyakati unatakiwa muwe pamoja walau mara moja moja kwa week mtembee na muyaongelee mahusiano yenu sasa Miaka mitano tupo tu yeye busy err day na dukaUnataka ugegede sasa au sio
Hahaaaa hapna unapo kuwa na mpenzi kuna nyakati unatakiwa muwe pamoja walau mara moja moja kwa week mtembee na muyaongelee mahusiano yenu sasa Miaka mitano tupo tu yeye busy err day na duka
Sent using Jamii Forums mobile app
Usione soo semanae..Hatujawahi tumiana na wala hatujawahi jadili hukusu hatua ya ngono
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua mature ungeleta huku huu upupu?Mzee baba mie niko mature enough na wala sihitaji ngono ila hatujawahi kukaa tukaongea mahusiano yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano na masomo vitu viwili tofauti na mie si mwanafunzi labda mwenzangu yuko advance mie niko uraiani natimiza Majukum mengine sas kwa style hii Nahsi jini mkata kamba anayemeleaBadala ya kukaa mujadili masomo wewe unawaza kujadili mahusiano wakati bado wanafunzi,someni kwanza hayo mambo yapo tu mtayakuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua jamiiforum sio instagram kwamba kila mtu anatumia naamini wanaojielewa tu ndio watumiaji sasa wajibu wko kuelewa nachohitaji na kutoa wazo, ushauri Kama haina unasoma na kuskip tu
Ndio lilipo kwa sasa Miaka mitano mingi duuuhKwa hiyo mapenzi yenu ni ya marimba ya mzungu hahahahaha. Omba papuchi hiyo kijana hataki kukjpa unaenda tafuta mwengine.
mwambie aache shuleNimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna muda hata kuongea japo nampenda na wala siwez fanya chchte pasipo yeye kutaka mie nataka attention yake nimechoka simu tu na kuwa mpenzi mtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
muongee nin sasa?Mzee baba mie niko mature enough na wala sihitaji ngono ila hatujawahi kukaa tukaongea mahusiano yetu
Sent using Jamii Forums mobile app