Mimi huwa sikosei kabisa. Nilenge halafu nikosee, never.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha umenifurahisha, ahsante
Kicheko chako, kimethibitisha. Tafadhali, nibariki japo kapicha ka lips zako. Au hata picha ya miguu yako. Au hata kucha zako.
Ukiona haifai kutupia hapa sebuleni, nitumie hata PM