Hisia zangu kwa wanawake wa JF

Hisia zangu kwa wanawake wa JF

Mh...watu na watu wao, mashemegi wanakula, si wenye damu ya kunguni tumebakia na keyboard, hiv apa jf kweli hakuna mdada ambae anaweza kunipenda bure kabisa! Natamani mungu anijalie nimpate mwenye kujielewa nami niwe na wangu, huu upweke utaniua" roho inauma sana!
 
Dogo punguza wivu [emoji12] [emoji12]
 
Yani nitatia tim mapemaaa.... Ujiandae tu mana nakula sana mie
Usijali, najua una minyoo ndo mana unakula sana eti!!

Anyway, nitawaambia wahudumu waongeze hamira kwenye chakula utavimbirwaje!!
 
Evelyn Salt- Nahisi ni mnene wastani, mweusi, muongeaji sana. Nahisi pia kitandani ni mtundu kweli kweli.

Valentina - Ni mweupe, mchaga, mpole/si muongeaji, kitandani si mtundu sana na ana aibu.

Nifah - Mwembamba, mweupe, mrefu. Kitandani ni mtundu kiasi. Na ili umfikishe kitandani lazima ufanye kazi ya ziada. Ni mgumu

Beauty Eva - mweupe, mpole, si muongeaji na kitandani huwa ni mwenye aibu.

Miss Natafuta - Muongeaji sana. Mshari. Kitandani inabidi ufanye kazi ya ziada ili uweze kumvua chupi
Ndo maana bado anatafta[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Evelyn Salt- Nahisi ni mnene wastani, mweusi, muongeaji sana. Nahisi pia kitandani ni mtundu kweli kweli.

Valentina - Ni mweupe, mchaga, mpole/si muongeaji, kitandani si mtundu sana na ana aibu.

Nifah - Mwembamba, mweupe, mrefu. Kitandani ni mtundu kiasi. Na ili umfikishe kitandani lazima ufanye kazi ya ziada. Ni mgumu

Beauty Eva - mweupe, mpole, si muongeaji na kitandani huwa ni mwenye aibu.

Miss Natafuta - Muongeaji sana. Mshari. Kitandani inabidi ufanye kazi ya ziada ili uweze kumvua chupi
Yoooote mishababi hiyooooooooo jichanganye utoke na boksa mkononi
 
Evelyn Salt- Nahisi ni mnene wastani, mweusi, muongeaji sana. Nahisi pia kitandani ni mtundu kweli kweli.

Valentina - Ni mweupe, mchaga, mpole/si muongeaji, kitandani si mtundu sana na ana aibu.

Nifah - Mwembamba, mweupe, mrefu. Kitandani ni mtundu kiasi. Na ili umfikishe kitandani lazima ufanye kazi ya ziada. Ni mgumu

Beauty Eva - mweupe, mpole, si muongeaji na kitandani huwa ni mwenye aibu.

Miss Natafuta - Muongeaji sana. Mshari. Kitandani inabidi ufanye kazi ya ziada ili uweze kumvua chupi
Kuna kaukweli hapo weka na ya miss chagga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom