hihihihihiiiii,,,jamani tumuache mfiwa. Wakati mwingine wengine akiwemo mfiwa anafanya hivi katika harakati za kukimbia upweke. Ushauri aliopewa kuwa asubiri muda utaponya huzuni yake utamtosha. Vinginevyo atamaliza wakaka wote na hatapata faraja anayoitaka, kwani hatatokea anayefanana na marehemu.