Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Duh kuchepuka kazi kama kutafuta kazi. Mi nina mke lakini kila ifikapo kwenye suala la kusaliti duh ni ngumu sana inatakiwa hisia zako sijui uzifiche wapi aiseee. Wanaochepuka wanaweza kuua!!
Oooh..afu unarudia tena.
Nachepuka na mtu mmoja huu mwaka wa tatu na SIJUTII na nikirudi nyumbani "hi baby how waz ur day"wala sioni tabu