Hisia zako wakati unachepuka

Hisia zako wakati unachepuka

Cheating mbaya.full regreat;kujilaumu nk! Lakini in a week interval unarudi mchepuko coz wanajua unachotaka na wanakupa zaidi ya mahitaji! All in all we regreat much but handleling ya mchepuko balaa,they know manjonjo!zaidi ya hapo hakuna zaidi ya hasara za kiuchumi,kijamii,kifamilia nk!vote against michepuko
HISIA UPATAZO NI HURUMA KWA MKE&HISIA ZA MAKOSA & WASIWASI, NA KUTOJIAMINI HAPO NYUMBANI
 
Nilichogundua mimi ni kwamba hakuna kitu kinachokifu/ kinachokinaisha mapema kama sex especially kwa wanaume. Yaani mwanamke ukishaishi nae zaidi ya miezi sita, msha sex zaidi ya mara 100, staili zote msharudia rudia hadi mmechoka, ushamuona akiwa uchi hadi akivua nguo unaona kama kitu cha kawaida tuu.. hapo ndio unapoanza kutamani ungepata kitu cha tofauti kidoogo..
Wanaume wengi huwa tunachepuka hata kama hatuna matatizo yoyote na wake zetu! Pia ni rahisi kukuta mwanaume ana mke mzuri balaa ila anachepuka na demu wa kawaida kabisa.. mradi tuu apate ladha tofauti, harufu tofauti, hata vile vimiguno tuu viwe tofauti na alivyozoea..! Hii haimaanishi kwamba hampendi mkewe la hasha..
 
Daaaah.asante mkuu.
 
Du.kwel mwanaume kaumbwa tofauti.asante sana
 
Nachepuka na mtu mmoja huu mwaka wa tatu na SIJUTII na nikirudi nyumbani "hi baby how waz ur day"wala sioni tabu
 
  • Thanks
Reactions: SG8
kuwa mahusiano ni complicated na wanaume hujitetea sana na kujustify kuchepuka
Hapa hakuna anayejustify ila tunaeleza hali halisi, mwanaume kuchepuka hajaanza leo, lakin katika ukweli wa mambo ukiona mwanaume ameacha familia kwa sababu ya mchepuko ujue huyo mchepuko kamuendea kwa mganga ili amteke moja kwa moja, na kama wewe ni mchepuko unatoka na mume wa mtu jaribu kumponda mke wake mkiwa naye uone reaction yake baada ya hapo jiulize mwanaume anafuata nini kwa mchepuko kama mapenzi yako kwa mke ulete jibu hapa,
au unafikiri ni sababu zipi za msingi zinawafanya wanume wachepuke ili hali kama ni mbunye hata wake zao wanazo tena wamezilipia na mahali kabisa?
 
Cheating mbaya.full regreat;kujilaumu nk! Lakini in a week interval unarudi mchepuko coz wanajua unachotaka na wanakupa zaidi ya mahitaji! All in all we regreat much but handleling ya mchepuko balaa,they know manjonjo!zaidi ya hapo hakuna zaidi ya hasara za kiuchumi,kijamii,kifamilia nk!vote against michepuko
HISIA UPATAZO NI HURUMA KWA MKE&HISIA ZA MAKOSA & WASIWASI, NA KUTOJIAMINI HAPO NYUMBANI

Kwa jinsi ulivyoongea kwa vyovyote itakuwa lazima uliwahi ku cheat aisee maana ulichoongea ndo uhalisia.........wee mtu ni sheeedah!!!nilidhani mie tu.
 
Kwenye.suala la sex.me na ke wanamtazamo tofauti sanaaaa..sanaa.na itakua hvyo daima.ndo maana binti wa shule akipata mimba anaonekana muhuni.ila alompa mimba..aaah ni kidume
Na mwanaume kuwa na wake wengi sio ajabu ila Mke na waume wengi....Naamini mleta mada unajua kuwa kuna tofauti kubwa kati ya mtu Mke na mtu Mme linapokuja swala la mapenzi. Wanaume wengi tumecheat mara nyingi bila kubadilika kitabia na kimwenendo..tena wengine na mtu huyo huyo kwa muda mrefu. Ila Mwnanmke akicheat na kukolezwa huko nje na hisia zitahamia huko huko. Inawezekana hata huyo Mchumba/Mpenzi wako anacheat ila huwezi kujua
 
Naamini huwa tunaona mi-baba miraba minne inavyowagwaya wake zao.Uchepukaji kwa wanaume ni tamaa si mapenzi mkuu!
 
Mwanaume ni tofauti na mwanamke, mwanamke akichepuka ujue upendo umehama maana kwa mwanamke kufanya mapenzi kunaambata na hisia za moyo, mwanamke hawezi kufanya mapenz kama hajampenda mtu tofauti na mwanaume akishaona maungo ya ndani hata kama alikuwa hampendi huyo mwanamke atakula tu kupoza njaa

Uko vizuri sana mkuu daud1,kuna gube gube niliapa sitaligusa maana nikiliangalia lilikuwa halina vina yaani kwa wife linasubiri,siku hiyo limenivalia khanga moja kitu nachokumbuka ni kujikuta nipo kwenye game huku wazungu wanakaribia kutoka,daah leo ndo nimeelewa kilichotokea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom