Hisia zako wakati unachepuka

Hisia zako wakati unachepuka

strong gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
271
Reaction score
214
Habar ya jpl wana jf
Samahani nina swali........

Kwa wale mlowahi kuchepuka au saiz umeamkia kwa mchepuko au unamchepuko,bila kujali sababu za kuchepuka maana utapata sababu ya kujitetea.

Pindi unapoelekea kucheat,hivi hisia zako juu ya mpenz wako hua unaziweka wapi?huwa hazikujii akilini?au unajitoa ufahamu?

nawaza hiv toka unaelekea kuchepuka,au mna anza kuchojoa nguo,dhamira haikusuti?hivi nao hua mna wapa mate?hamna kinyaa unachojihisi maana mdomo wa huyu kesho wa njia kuu..khaa
Ktkt ya tendo je,mnafanya bila kupeana maneno matam?kama mnapeana mnamaanisha au yanatokea kooni?

Ukitoka hapo je,ukakutana na mpnz wako au akapga simu.Dhamira inakusuta?(Naongelea hisia za ndan kabsa)

NOTE:sijawahi kucheat wala sitarajii.ni swali tu..kama huna jibu pita kimya.asanteni
 
Maruhani yakipanda hayo huwa yanapotea ila hurudi baada ya tendo kuisha mshaitana maneno matamu yoteee
 
Hapo kichwa cha chini kikianza kufanya kazi, cha juu kinaasimama
 
Hapo kichwa cha chini kikianza kufanya kazi, cha juu kinaasimama

Ha ha ha haaaa...kweli tendo hili kila mtu ana mtazamo wake.sasa kama hata akili haikusimami unakumbuka condom kwel
 
Maruhani yakipanda hayo huwa yanapotea ila hurudi baada ya tendo kuisha mshaitana maneno matamu yoteee

Ha ha ha ha..afu hapo kabinti kakitoka.kanajipa moyo ana nipenda kuliko mke wake.mxuuuu..kumbe ni pale pale tu kwa 6*6
 
Tafiti zinaonyesha wanawake walio wengi(si wote) huanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa pindi wafikapo miaka 35 na wakiwa tayar na watoto wawili (sababu zimetajwa pia).So i hope mtoa mada upo chini ya umri wa miaka 35....so subir ufike umri huo na majibu ya maswal yako utayapata kama nawe utaangukia kwenye kundi la wanawake walio wengi.....Time will tell....
 
Kwa mtu anayecheat lazima awe ana sababu. Mchepukaji lazima atofautishe kati ya sex na love. Anampenda mkewe lakini anasex na mchepuko. Ndo maana utakuta wanaume wengi tunaenda kwa machangu na baada ya kuondoa UH tunarudi kwa wapenzi wetu na maisha yanaenda. Hakuna mwanaume anayemcheat mwanamke bila kukosa k au hamu ya kukosa k. Kuna vitu vingi akinamama mnafanya ila vinatuumiza kisaikolojia na kukosa hamu ya wake zetu. Mfano mnapenda kukaa uchi na kuvaa mavazi nusu uchi kwa muda mrefu au kama kumchungulia mkeo akijifungua, hivi vinapunguza hamu ya k ya mkeo ingawa unampenda. Ref: ‘Kushuhudia mke akijifungua kumeathiri wengi’ - Habari - mwananchi.co.tz
 
Kama nisipo angukia huko itakuaje.asante kwa kuchangia
 
tafiti zinaonyesha wanawake walio wengi(si wote) huanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa pindi wafikapo miaka 35 na wakiwa tayar na watoto wawili (sababu zimetajwa pia).so i hope mtoa mada upo chini ya umri wa miaka 35....so subir ufike umri huo na majibu ya maswal yako utayapata kama nawe utaangukia kwenye kundi la wanawake walio wengi.....time will tell....

una akili sana ngoja aongezeke umri nichepuke naye
 
Kwa mtu anayecheat lazima awe ana sababu. Mchepukaji lazima atofautishe kati ya sex na love. Anampenda mkewe lakini anasex na mchepuko. Ndo maana utakuta wanaume wengi tunaenda kwa machangu na baada ya kuondoa UH tunarudi kwa wapenzi wetu na maisha yanaenda. Hakuna mwanaume anayemcheat mwanamke bila kukosa k au hamu ya kukosa k. Kuna vitu vingi akinamama mnafanya ila vinatuumiza kisaikolojia na kukosa hamu ya wake zetu. Mfano mnapenda kukaa uchi na kuvaa mavazi nusu uchi kwa muda mrefu au kama kumchungulia mkeo akijifungua, hivi vinapunguza hamu ya k ya mkeo ingawa unampenda. Ref: ‘Kushuhudia mke akijifungua kumeathiri wengi’ - Habari - mwananchi.co.tz

Duu asante sana.umeniongezea akili japo ntachanganya na zangu.
Nilikua natamani siku ya kujifungua mume wangu awepo nikiamini atakua na uchungu nilivyo umia ili asichepuke,kumbe ndo namuharibu?kiruuuuu....kukaa uchi daaaah..haya ntafanyia kazi mkuu.asante
 
Ha ha ha ha..afu hapo kabinti kakitoka.kanajipa moyo ana nipenda kuliko mke wake.mxuuuu..kumbe ni pale pale tu kwa 6*6
Mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepuko
 
mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepuko

umeongea point hadi raha aiseee
 
Mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepuko

Asante.kumbe akichepuka ntajikaza tu.maana nilikua nadhani ndo upendo umehama....japo kwenye uchumba huku niki kufuma navunja uhusiano
 
Asante.kumbe akichepuka ntajikaza tu.maana nilikua nadhani ndo upendo umehama....japo kwenye uchumba huku niki kufuma navunja uhusiano
Mwanaume ni tofauti na mwanamke, mwanamke akichepuka ujue upendo umehama maana kwa mwanamke kufanya mapenzi kunaambata na hisia za moyo, mwanamke hawezi kufanya mapenz kama hajampenda mtu tofauti na mwanaume akishaona maungo ya ndani hata kama alikuwa hampendi huyo mwanamke atakula tu kupoza njaa
 
Mwanaume ni tofauti na mwanamke, mwanamke akichepuka ujue upendo umehama maana kwa mwanamke kufanya mapenzi kunaambata na hisia za moyo, mwanamke hawezi kufanya mapenz kama hajampenda mtu tofauti na mwanaume akishaona maungu ya ndani haya kama alikuwa hampendi huyo mwanamke atakula tu kupoza njaa

nimejifunza kitu
 
Hii sredi watu wanachangia point tu ngoja mi nije na pointless.
 
Back
Top Bottom