Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

Kichwa cha uzi "Hizbollah imebomoa 2 Iron Dome batteries"
Mleta mada unajua hata battery ya air defense system inavyokuwa kweli au umeandika kiimani?

Artillery ziharibu air defense system battery? Artillery za wapi hizo. HIMARS yenyewe yenye range mara kumi zaidi ya hizo artillery haiwezi.
Himars kama israhell tu zilikua over-rated sana...!!
 
Kichwa cha uzi "Hizbollah imebomoa 2 Iron Dome batteries"
Mleta mada unajua hata battery ya air defense system inavyokuwa kweli au umeandika kiimani?

Artillery ziharibu air defense system battery? Artillery za wapi hizo. HIMARS yenyewe yenye range mara kumi zaidi ya hizo artillery haiwezi.
We pimbi kweli unafkiri tunaandika tusichokijua
 
BREAKING :

Hezbollah begins the phase of eliminating Israel's anti-aircraft systems

They targeted Two Israel Iron Dome platforms in the north of the Capri colony with artillery, and succeeded in destroying themView attachment 2846408
Haya yote mnayoyasema kama kweli Israel anapigwa Wamuondoe kwenye milama ya Golani , hii vita unaenda kunyakua ardhi ya Gaza mazima
 
Hao wamelaniwa we utajikuta umechelewa sana, baki unapapasa kama unaenda peponi utajikuta unazama kwenye moto wa jahanamu.

Njia ya peponi ni kwa Mtume Muhammad, hata Yesu analifahamu hilo.
Endelea kujidanganya,kwa taarifa yako ukifa muislamu ni motoni Moja kwa Moja kwasababu dini yenu imejengwa kwenye misingi ya uongo,mauaji na unafiki.
 
Hao wamelaniwa we utajikuta umechelewa sana, baki unapapasa kama unaenda peponi utajikuta unazama kwenye moto wa jahanamu.

Njia ya peponi ni kwa Mtume Muhammad, hata Yesu analifahamu hilo.
Yani huyo aliekuwa anaongea na majini? Nyie ni jehanamu moja kwa moja!
 
Binadamu na Majini wako walio kufuru kama wewe na Shetani.

Na wako walio kuwa Majini Waislamu kama vile Binadamu walio Waislam.

Tatizo nyie mnadhani majini wote kama nyie 😄
 
Majini ni majini tu. Demons are demons all are evil. Nyie hakika ni zao la mapepo.
 
.
IMG_20231219_190113.jpg
 
Kichwa cha uzi "Hizbollah imebomoa 2 Iron Dome batteries"
Mleta mada unajua hata battery ya air defense system inavyokuwa kweli au umeandika kiimani?

Artillery ziharibu air defense system battery? Artillery za wapi hizo. HIMARS yenyewe yenye range mara kumi zaidi ya hizo artillery haiwezi.
Kwani tatizo liko wapi hapo mkuu? Wewe unajua Iroin dome air defense systems ilikuwa umbali gani kutoka mipakani mwa Gaza na zipo ngapi, hivi una uhakika ni teknolojia hipi iliyo tumika kushabulia Iron Dome - no research no comment, mara nyingi uwa unakereka sana mtu aki- comment chochote kuhusu Israel au Uncle SAM!!

Labda nikuhoji swali dogo na ni wapi hasa Iron Dome iliwahi kuonyesha umahili wake katika masuala ya Air Defense dhidi ya Rockets mahili za kileo zaidi ya kuenyeshwa na home made vijiroketi vya Hamas na Hazibolla? - Iron Dome, my foot.

Just imagine for a second - We arterially ya Iranian made inasambaratisha highly hyped "Iron Dome" unafikiri ni kombora hilo la Iran ni la kawaida kweli?? Msiwachezee Wairan nawambieni.

We unafikiri kwa nini makambi mawili ya kijeshi yalipo shambuliwa na roketi za Iran na kujeruhi wanajeshi wengi wa USA mbona Merikani ilikaa kimya, Wairan vile vile waliwahi kuishusha Drone ya kijasusi ya teknolojia ya hali ya juu wakaipeleka kwenye maabara na kuifanyia uchunguzi wa kiufundi, baada yamuda na wao wakaunda ya kwao , labda hapa nirudie tena kwa kusema kwamba Drone hiyo nasema ilishushwa kisayansi hawakuitungua, Drone nyingine ya teknolojia ya kawaida ilitunguliwa tu na jeshi la Iran, katika matukio hayo yote mbona sikuona Merikani analipiza kisasi kwa kuishambulia Iran??
 
Kichwa cha uzi "Hizbollah imebomoa 2 Iron Dome batteries"
Mleta mada unajua hata battery ya air defense system inavyokuwa kweli au umeandika kiimani?

Artillery ziharibu air defense system battery? Artillery za wapi hizo. HIMARS yenyewe yenye range mara kumi zaidi ya hizo artillery haiwezi.
Hata vifaru venu mnavyo viita sijui kitanda cha Mungu mlituambia kuwa havipigiki kwa silaha yeyote lakini leo hii kila mtu anaona kinacho endelea.
Propaganda huwa zina mwisho.
 
Back
Top Bottom