Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

Hata vifaru venu mnavyo viita sijui kitanda cha Mungu mlituambia kuwa havipigiki kwa silaha yeyote lakini leo hii kila mtu anaona kinacho endelea.
Propaganda huwa zina mwisho.
Heheeeeee
Halaf walivyokua na mbwembwe na dhambi mbwa hawa wa kizayuni na washirika wao wa jf eti kitanda cha Mungu dah
Ila hamas wametuonesha kama yale nimavyuma vyuma tu yaliochangamka
Maana wanayapiga viberiti saafi kabisa tena kwa baruti
Safari hii walidhania pia watapigwa kwa mawe na manati kama miaka ile ya giza
Hamas wameionesha dunia kama mazayuni hamna kitu
 
Awamu hii wameingia cha kike mafala sana hawa.
Mpaka sasa uchumi wa Israel umesha poteza $110 billion kwenye uchumi wake.
 
Kwani tatizo liko wapi hapo mkuu? Wewe unajua Iroin dome air defense systems ilikuwa umbali gani kutoka mipakani mwa Gaza na zipo ngapi, hivi una uhakika ni teknolojia hipi iliyo tumika kushabulia Iron Dome - no research no comment, mara nyingi uwa unakereka sana mtu aki- comment chochote kuhusu Israel au Uncle SAM!!
Mleta mada kazungumzia battery ya Iron Dome. Unaijua battery wewe, au unadhani amezungumzia launcher moja?

Battery ina launchers nne, bado missile command systems na radar na vitu vingine. Hizo launchers na systems ziko separated kilometers kadhaa mbalimbali. How comes artillery inaharibu battery nzima? Kitu pekee kinaweza haribu battery nzima ni airstrike ya ndege, sio artillery.
Labda nikuhoji swali dogo na ni wapi hasa Iron Dome iliwahi kuonyesha umahili wake katika masuala ya Air Defense dhidi ya Rockets mahili za kileo zaidi ya kuenyeshwa na home made vijiroketi vya Hamas na Hazibolla? - Iron Dome, my foot.
Iron Dome ina success rate ya 90%. Nitajie any air defense system duniani yenye hit rate kubwa zaidi ya Iron Dome, itafute popote pawe China, Russia, Iran, Turkey, US au wapi.
Just imagine for a second - We arterially ya Iranian made inasambaratisha highly hyped "Iron Dome" unafikiri ni kombora hilo la Iran ni la kawaida kweli?? Msiwachezee Wairan nawambieni.
Artillery sio kombora bali ni mzinga, kuna tofauti sana kati ya missile na rocket. Hata artillery iwe rocket artillery bado iko limited tofauti na missile.
We unafikiri kwa nini makambi mawili ya kijeshi yalipo shambuliwa na roketi za Iran na kujeruhi wanajeshi wengi wa USA mbona Merikani ilikaa kimya,
Hizo ni rockets, sio artillery shells tunazosema hapa. Sasa ulitaka Marekani ifanyeje wakati rockets zimepiga kwenye rami na hakuna majeruhi wala vifo wala uharibifu wa zana yoyote ya Marekani.

Roketi uchwara hazijaharibu kitu, wakati one Hellfire missile ya Marekani ilimchinja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran. Na bado Iran kwa kiwewe ikajitutumua ikalipua ndege yao ya abiria mjini Tehran, wakafa watu zaidi ya 150. Kombora moja la Marekani lenye kilo hata mia hazifiki lilileta madhara hayo ila makombora yenye tani kadhaa yaliishia kutimua vumbi kwenye kambi ya Marekani.

Kamuue Jenerali wa Marekani uone utakavyokaangwa.
Wairan vile vile waliwahi kuishusha Drone ya kijasusi ya teknolojia ya hali ya juu wakaipeleka kwenye maabara na kuifanyia uchunguzi wa kiufundi, baada yamuda na wao wakaunda ya kwao , labda hapa nirudie tena kwa kusema kwamba Drone hiyo nasema ilishushwa kisayansi hawakuitungua, Drone nyingine ya teknolojia ya kawaida ilitunguliwa tu na jeshi la Iran, katika matukio hayo yote mbona sikuona Merikani analipiza kisasi kwa kuishambulia Iran??
Hayo ndio maelezo ya artillery za Iran kushambulia battery ya Iron Dome?

Any artillery strike haiwezi ua battery ya Iron Dome au air defense battery nyingine yeyote, haijarishi ni ya nchi gani. Battery ya artillery iko very separated hata ukitumia missiles, ndio maana siku zote utaona Ukraine au Russia zimeharibu launcher moja iliyokuwa karibu au iliyopatikana, au radar moja. Ila kuharibu battery nzima ni ndoto za kijinga
 
Hata vifaru venu mnavyo viita sijui kitanda cha Mungu mlituambia kuwa havipigiki kwa silaha yeyote lakini leo hii kila mtu anaona kinacho endelea.
Propaganda huwa zina mwisho.
Nani alisema vifaru havipigiki?
Mpaka sasa vifaru vingapi vya Leopard vimepigwa? Vitatu.
Watu wangapi kwenye hivyo vifaru wamefariki? Sifuri.

Sasa huoni performance ya Leopard ni kubwa sana kuliko ya T series za Russia? Urusi vya kwao vinafanya tossing competition, kikipigwa kinachanika turret inaruka juu mita kadhaa angani. Hapo ukibahatika utaokota mkono wa crew member.
 
Awamu hii wameingia cha kike mafala sana hawa.
Mpaka sasa uchumi wa Israel umesha poteza $110 billion kwenye uchumi wake.
North Gaza ni magofu mzee, pale ni vifusi vya zege na minofu ya watu chini. Sijui nani mwenye hasara kubwa sasa kati ya Israel anayepoteza fedha na Gaza inayotimuliwa kwenye makazi. Anayeomba vita iishe anajulikana ni Hamas na Wapalestina, ubabe uendelee si Israel anakomeshwa basi aendelee kukomeshwa
 
U
Binadamu na Majini wako walio kufuru kama wewe na Shetani.

Na wako walio kuwa Majini Waislamu kama vile Binadamu walio Waislam.

Tatizo nyie mnadhani majini wote kama nyie šŸ˜„
Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
 
U

Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
Binadamu
 
Nani alisema vifaru havipigiki?
Mpaka sasa vifaru vingapi vya Leopard vimepigwa? Vitatu.
Watu wangapi kwenye hivyo vifaru wamefariki? Sifuri.

Sasa huoni performance ya Leopard ni kubwa sana kuliko ya T series za Russia? Urusi vya kwao vinafanya tossing competition, kikipigwa kinachanika turret inaruka juu mita kadhaa angani. Hapo ukibahatika utaokota mkono wa crew member.
Uziri wako ww ni bingwa wa kuyakataa maneno yako mwenyewe.

Hao akina Leopard mbona wameshindwa hata kukomboa uwanja wa mpira huko Ukraine?
 
U

Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.

Kabla ya hapo shetani alikuwa mtu wa ibada sana na hio yote alidhani atamdanganya Mungu, ili amuweke level yake au chini yake kumbe hajui kwa Mungu hata hakifichiki kitu hata ndani ya moyo wako.

Mungu akafanyia mtihani amsujudie Adam akasema mimi bora kuliko Adam na akaendelea kusema mimi nimeumbwa kwa moto huyu kaumbwa kwa udongo.
 
North Gaza ni magofu mzee, pale ni vifusi vya zege na minofu ya watu chini. Sijui nani mwenye hasara kubwa sasa kati ya Israel anayepoteza fedha na Gaza inayotimuliwa kwenye makazi. Anayeomba vita iishe anajulikana ni Hamas na Wapalestina, ubabe uendelee si Israel anakomeshwa basi aendelee kukomeshwa
Mkuu punguza hasira kama kuuwa hovyo watu na kubomoa majumba ndo kushinda vita basi alitakiwa mpaka sasa awe amewashinda hamas.
Hitra ndo ange tangazwa mshindi kwanye vita ya dunia.
Marekani ndo angekuwa mshindi wa vita ya Vietnam.
Na pia kusingekuwa na haja ya sheria za vita.
Kama Hasara za kiuchumi zisinge kuwa na maana basi nchi za Magharibi zisinge jisumbua kuweka vikwazo dhidi ya mahasimu wao na wala Marekani asingekuwa anahaha kuwazuia wauthi kuzishambulia meli.

Alafu hamas hawajawahi kuomba vita hiishe bali wameweka matakwa yao mezani ni mpaka yatimizwe ndo vita iishe na mateka waachiwe.

Wanao taka vita isitishwe ni jumuia ya kimataifa ambayo inaona kuwa Israel imeshindwa kupambana vita kwa kufuata sheria za kimataifa.
Kichaa hawezi ingia mtaani akaanza kurusha mawe hovyo hovyo alafu atamwe tu.

Na bahati nzuri hata washirika wake wanao mpa silaha wamemchana.

Ni juzi tu Baden kawambia kuwa mauaji ya kiholela yana wafanya wapoteze uugwaji mkono wa kimataifa.
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani aliwaambia kuwa vita yenu dhidi ya Hamas haina tena hadhi ya kuitwa vita bali ni mauaji ya kiholela na yasio na faida yeyote kimkakati.

Jana tu waziri wa zamani wa ulinzi wa Uingereza amesema kuwa jinsi Israel inavyo indesha vita huko gaza hakuendani kabisa na hadhi ya jeshi hilo.
Kama ni kuuwa na kubomoa majumba hata JWTZ lina uwezo wa kulidondosha jiji la Dar ndani ya mwezi tu ikiwa hakuna ulinzi wa anga utakao wazuia.
 
SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.

Kabla ya hapo shetani alikuwa mtu wa ibada sana na hio yote alidhani atamdanganya Mungu, ili amuweke level yake au chini yake kumbe hajui kwa Mungu hata hakifichiki kitu hata ndani ya moyo wako.

Mungu akafanyia mtihani amsujudie Adam akasema mimi bora kuliko Adam na akaendelea kusema mimi nimeumbwa kwa moto huyu kaumbwa kwa udongo.
Lo!kwahiyo wapo majini ni viumbe wema na ni marafiki wa binadamu?
 
Israeli inapitia kipindi kigumu wanaonja joto ya jiwe hamna kupumua kule Houthi huku Hisbollah akitaka kupumua anakutana na Hamas amemkalia kooni akitaka kutabasamu anakutana Iran anatest Hypersonic

ļøBREAKING

Iranian Basir precision artillery shells have entered the game

Hezbollah has targeted two Iron Dome batteries north of Capri with Basir artillery shells.

Iron dome is useless against BasirView attachment 2846400View attachment 2846401
MKUU KWELI KICHAPO CHA GAZA KIMEKOLEA......
NAONA UNAJIFARIJI SASA šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£Wakati ukweli upo uchi.
 
SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.

Kabla ya hapo shetani alikuwa mtu wa ibada sana na hio yote alidhani atamdanganya Mungu, ili amuweke level yake au chini yake kumbe hajui kwa Mungu hata hakifichiki kitu hata ndani ya moyo wako.

Mungu akafanyia mtihani amsujudie Adam akasema mimi bora kuliko Adam na akaendelea kusema mimi nimeumbwa kwa moto huyu kaumbwa kwa udongo.
Wewe hz habari umeezitoa wapi???
Kwenye hekaya za waarabu akina muhamad.......
Au hekaya za wabantu!!
 
Israel inatumika na Mungu kutuondolea uchafu wa moody duniani. Watafanikiwa.
Unaonesha ujinga hadharani.hakuna Mungu ambaye atatuma watu kuwauwa watoto na kinamama ambao hawana hatia.mpka Papa kasema Israel wanafanya ugaidi ila nyie wajinga wachache hamuoni ukweli.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom