Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,263
Reaction score
40,451
Israeli inapitia kipindi kigumu wanaonja joto ya jiwe hamna kupumua kule Houthi huku Hisbollah akitaka kupumua anakutana na Hamas amemkalia kooni akitaka kutabasamu anakutana Iran anatest Hypersonic

️BREAKING

Iranian Basir precision artillery shells have entered the game

Hezbollah has targeted two Iron Dome batteries north of Capri with Basir artillery shells.

Iron dome is useless against Basir
IMG_20231218_183547.jpg
IMG_20231218_172721.jpg
 
Kichwa cha uzi "Hizbollah imebomoa 2 Iron Dome batteries"
Mleta mada unajua hata battery ya air defense system inavyokuwa kweli au umeandika kiimani?

Artillery ziharibu air defense system battery? Artillery za wapi hizo. HIMARS yenyewe yenye range mara kumi zaidi ya hizo artillery haiwezi.
 
Nguruwe wote wa kiarabu na wafuasi wao wafutwe dunia itulie. Israel ataifanya hiyo kazi.
Hamasi anawacheka kwa kudai wamegundua tunnel, anawambia hio tunnel kazi yake ilisha tumika tarehe 7th October, yani hilo tunnel hawalitumi kazi yake ilisha kwishaaa na walisha timiza haja zao, message kwa kiarabi, kiyahudi na kizungu 😄


View: https://youtu.be/3wUqajBxZ4E?si=vlFlyCCNlTpSqxqh
 
Back
Top Bottom