HISABATI: Unakumbuka nini

Mpaka leo bado naamini kua hakuna mtaalam mwingine wa hayo madude (functional analysis na abstract algebra) zaidi ya Dr. G. Kakiko labda na dogo mmoja anamalizia phd yake sijui wapi anaita mr. Mwanzalima, mkuu unawapata hawa watu?

mkuu tunaposema ukijua hesabu unaweza uka excel kwenye fields nyingine kiufupi mifano yake halisi ni hizo makitu. You must have high reasong ability and you can come frm diffent angles. Kuna upungufu wa ma lectures wa hesabu ila hizi ni zaidi ya upungufu. Story za huyo dogo nimezisikia ila sija wai kukutana nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…