Ile misingi inayotumika katika kujenga hoja wakati wa kuprove theorem ndiyo msingi inayotumika pia katika kujenga hoja ya kutatua matatizo mengine ya kijamii. Usichukulia reproduction ya material bali angalia application ya methods. Mathematician mzuri siyo mkurupukaji katika mambo yake; kila jambo analiangalia kwa makini na kina sana. Huo utamadunbi wa kuangalia mambo kwa kina ndio unawafanya wawe na mtazamo mpana sana wa kila jambo na hata katika mambo ya jamii. Utashangaa kuwa mathematician aliyeiva hawezi kukubali kuwa 3+1.0=4, ingawa watu wa kawaida wanaojua hesabu za kukokotoa tu watamshangaa.
Umesema vyema sana, "Mathematician Mzuri" kama haya mambo unayoyasema yanafanywa na mathematicians kwa nini kila mtu apitishwe kwenye tanuru la hesabu? wewe mwenyewe lini katika maisha yako uliishakutana na senerio iliyokufanya utumie logarithm.
Alafu umesema vyema zaidi "watu wa kawaida", kwa nini na watu wakawaida wanyimwe nafasi za kwenda chuo kikuu kwa sababu wamefail hesabu? why?
More customarily, the universe is defined as everything that exists, (has existed, and will exist). According to our current understanding, the universe consists of three principles: spacetime, forms of energy, including momentum and matter, and the physical laws that relate them.
yani tunavyokuwa tunatafakari tunavipa vitu namba zakutuwezesha kuvitofautisha na kuvikokotoa na kuturahisisha kuweka formular lakini cha msingi katika minamba si minamba yenyewe ila tafakuri. ambayo katika maisha ya kawaida bila kutafakari hata uvumbuzi na utoaji wa masuluhu ni ngumu kupata suluhu na kuencdelea kabisa.
na ndio maana sisi hatupati suluhu ya matatizo yetu kwa sababu hatujishughulishi kufikiri kwa kina tunachukulia vitu kama vilivyo kwa urahisirahisi tui. ningekuwa nashauri ni masomo gani ya lazima toka shule ya msingi falsafa ingekuwa namba moja.
Iron lady unaweza ukanikumbusha ni somo gani au topic ipi kwenye somo gani inafundisha namna ya kutafakuri, hasa kwenye ngazi ya shule ya msingi mpaka form six?hesabu ni muhimu lakini nafikiri tafakuri inayosisitizwa katika hesabu ndio kitu cha msingi zaidi, kwa hiyo kutafakari kwa kina na kupata suluhu ya matatizo ndio la msingi zaidi. hesabu huitaji ufikiri wa hali ya juu but hesabu yenyewe ni namba tu.
kitu cha kusisitiza hapa ni tafakuri katika matatizo yote.
ukisoma philosophy kuna topic ya logic, if.......... and .......... therefore.........
ili upate validity au invalidity ya argument au ili ujue kama ni sound au not sound argument.
hii ni topic ngumu inahitaji kufikiri kwa hali ya juu sana na hiyo ndio tafakuri inayotakiwa. hesabu sasa hutumika kama viashiria vya tafakuri katika hoja yani watu watatu walikuwa hapa hatuwajui 3x wengine 2x wakaondoka tunabaki na wangapi 3x-2x=?
yani tunavyokuwa tunatafakari tunavipa vitu namba zakutuwezesha kuvitofautisha na kuvikokotoa na kuturahisisha kuweka formular lakini cha msingi katika minamba si minamba yenyewe ila tafakuri. ambayo katika maisha ya kawaida bila kutafakari hata uvumbuzi na utoaji wa masuluhu ni ngumu kupata suluhu na kuencdelea kabisa.
na ndio maana sisi hatupati suluhu ya matatizo yetu kwa sababu hatujishughulishi kufikiri kwa kina tunachukulia vitu kama vilivyo kwa urahisirahisi tui. ningekuwa nashauri ni masomo gani ya lazima toka shule ya msingi falsafa ingekuwa namba moja.
Iron lady unaweza ukanikumbusha ni somo gani au topic ipi kwenye somo gani inafundisha namna ya kutafakuri, hasa kwenye ngazi ya shule ya msingi mpaka form six?
ni sahihi kabisa kwa falsasa kuchukuliwa kama somo la kijamii kwani majibu mengi ya matatizo ya maisha yetu ya kila siku yapo katika falsafa. kwa sababu falsasa inatupa miongozo ya kutafakari na kuchanganua na kufananisha na kutofautisha na kutufanya tugundue ama tuunde suluhu mpya ya matatizo yanayotusibu.Iron Lady
tanzania kuna wana philosophy wangapi? ni sahihi philosophy kuchukuliwa kama issue ya kijamii, hasa tunapozungumzia maisha halisi ya mtanzania au mwanadamu?
falsafa inahusu kutafakari kwa kina juu ya mambo yanayokuzunguka, ama matatizo na kuja na masuluhisho.falsafa ndio nini? kuna post nimeona unasema tafakuri inayosisitizwa kwenye hesabu ndio muhimu zaidi? ni tafakuri gani?
falsafa inahusu kutafakari kwa kina juu ya mambo yanayokuzunguka, ama matatizo na kuja na masuluhisho.
sasa kwenye hesabu kwanza ujue hesabu ni namba, sasa si anasema tafuta soln, ile process ya wewe kufikiri na kujiuliza nitoe ipi niweke ipi iwe vp ili upate suluhu ndio tafakuri ninayoizungumzia. kwa hiyo mimi naona hesabu humfanya mtu kutafakari kwa hali ya juu ili kupata hicho anachokiita soln. kule kutafakari kwangu ndio muhimu siyo namba.
na kama watu wakiibeba tafakari kwa namna ya pekee tukawa tunajiuliza mambo mengi yetu ya kila siku tutafika mbali.
sasa hivi mali za nchi zinaibwa ovyo wachache sana wanaojisumbua kujiuliza maswali kadha wa kadha, wengi wanaona kama sawa vile. lakini si sawa na bila kujiuliza basi hatuwezi kusogea hapa tulipo na kwenda kwingine.
mkuu hata hiyo hesabu yenyewe ni moja ya masomo yanayotusaidia kutafakari na namna ya kutafakari, form six form five na six kuna somo la general studies( GS ) kuna topic kabisa ya falsafa japo ni introduction to philosophy, haipo kiundani sana. ila kwa wanavyuo wengi kwa mfano UDSM mwaka wa kwanza kuna critical thinking and argumentation lazima kwa wale wa social science.
masomo haya yana msaada mkubwa sana kujenga uelewa na ufahamu juu ya mambo mbalimbali.
falsafa inahusu kutafakari kwa kina juu ya mambo yanayokuzunguka, ama matatizo na kuja na masuluhisho.
sasa kwenye hesabu kwanza ujue hesabu ni namba, sasa si anasema tafuta soln, ile process ya wewe kufikiri na kujiuliza nitoe ipi niweke ipi iwe vp ili upate suluhu ndio tafakuri ninayoizungumzia. kwa hiyo mimi naona hesabu humfanya mtu kutafakari kwa hali ya juu ili kupata hicho anachokiita soln. kule kutafakari kwangu ndio muhimu siyo namba.
na kama watu wakiibeba tafakari kwa namna ya pekee tukawa tunajiuliza mambo mengi yetu ya kila siku tutafika mbali.
sasa hivi mali za nchi zinaibwa ovyo wachache sana wanaojisumbua kujiuliza maswali kadha wa kadha, wengi wanaona kama sawa vile. lakini si sawa na bila kujiuliza basi hatuwezi kusogea hapa tulipo na kwenda kwingine.
ni sahihi kabisa kwa falsasa kuchukuliwa kama somo la kijamii kwani majibu mengi ya matatizo ya maisha yetu ya kila siku yapo katika falsafa. kwa sababu falsasa inatupa miongozo ya kutafakari na kuchanganua na kufananisha na kutofautisha na kutufanya tugundue ama tuunde suluhu mpya ya matatizo yanayotusibu.
falsasa juu ya uongozi na utawala,maadili,watu na namna ya kuishi kwao, imani zao, n.k yote haya yanahusu maisha yetu ya kila siku sisi kama binadamu.
kuhusu kuwako na wanafalsafa wangapi tanzania sina jibu kwa kweli,wachache sana niwajuao hata mwalimu alikuwa mwanafalsafa kwangu mimi.
First lady ninawasiwasi kama unaelewa hesabu
hakuna tafakari yoyote inayohitajika wakati wa kunyambua milinganyo ya hisabati ni kukumbuka formula, procedure na kutililika tu
Unanitoa kwenye mada, lakini kama falsafa ni muhimu sana kwenye maisha yetu kwa nini hatufundishwi wote kama ilivyo hisabati,kwa nini falsafa haifundishwi form six kurudi chini? na huko vyuo vikuu kwa nini inafundishwa selectively? falsafa na hisabati ni nini cha muhimu zaidi katika maisha yetu? hisabati nimeishajua sio, inawezekana ikawa ni falsafa, kwa nini sijafundishwa? kwa nini nifundishwe vitu ambavyo sivihitaji kwenye maisha yangu.
sasa consider application ya hisabati na critical thinking kwenye maisha yetu ya kila, ni kipi kinapewa kipaumbele huwezi kukuta ni hesabu.