Hisa za tangazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hisa za tangazwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by IKISU, Mar 5, 2013.

 1. I

  IKISU Member

  #1
  Mar 5, 2013
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Naomba ushauli kuusu kununua hisa, mana nilie nae tunabishana anasema azina faida yoyote ni hisa za benk inayo anzishwa,ushauli please niko dairema.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2013
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  binafsi si mjuzi sana wa maswala ya hisa,ila nayafamu japo kidogo kwa kupitia njia za kusoma vitabu,wataalamu wanasema ni vizur kununua hisa zilizo kwenye soko la hisa(DSE).Lakini pia wanadai ni nzuri kununua hisa ambayo ni hisa ya kwenye soko la awali.(ni neno la kitaalamu),lakini unashauliwa kufanya uchunguzi wa ufanyaji mzuri wa kazi wa mahala ununuapo hisa
   
 3. m

  mwana mpendwa Senior Member

  #3
  Mar 5, 2013
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mh! Kama benki ndo inaanzishwa jua kununua hisa zake lazma ubebe risk kubwa kwa sababu huwezi kupima performance, wala position yake kifedha na pia huwezi predict future na trend ya kampuni. hata hivyo kama ndo inaanza usitegemee kuanza kuenjoy faida hivi karibuni. Possibility ya kuoperate under loss at the beginning nikubwa. kama hela za mawazo nakushauri uache. Mtazamo wangu.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2013
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,554
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Benki inapoanzishwa ni sawa na biashara nyingi nyingine zinavyoanzishwa. Inaweza kwenda vizuri, na hasa kama itakuwa na utawala/usimamizi mzuri. Lakini yawezekana ikawa kinyume chake ikawa hasara. Ndiyo maana wengine wakasema ni risk kubwa kwa fedha yako labda kama unajua kiundani itakavyoendeshwa kimakini.

  Kama ndio unataka kuanza kununua hisa kwa mara ya kwanza sio mbaya ukianza na hisa za kampuni/biashara zenye track record nzuri - na hizi utazijua kwa kuongea na mawakala wa soko la hisa.
   
 5. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaponunua hisa kwa biashara inapoanza risk ipo kubwa sana maana hatujui tathimini ya biashara itakavyokuwa huko mbeleni ni kama unaweka mtaji kwenye biashara ili mwisho wa siku upate faida, na kama biashara inapoanzishwa wanakuambia ununue hisa? hizo hisa zimetangazwa au ni za kisiri kisiri?
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2013
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,610
  Trophy Points: 280
  Banking industry in the country is among of the most competitive industry with a very narrow corporate market. Yes, sina shaka kwamba itakuwa ina-deal na retail banking....swali linabaki ni for how long will it be able to acquire at least 1% of the market share? Frankly speaking, it can takes years if not a decade plus! Tayari kuna giants in banking industry, to mention few, kuna NMB, CRDB, NBC! Last year, wameingia FNB na Equity Bank! Hawa FNB & Equity ni very aggressive....and even more important, ni very successfully banks huko kwao! The guys are not only real competitors but also are threats to existing and new entrants!

  Nimekupa hayo kwa uchache ili upate picha ya how competitive a new entrant should be! Does your prospective bank has the competitive edge?! If not, then think twice especially kama unatarajia matunda ndani ya muda mfupi!! Ninaposema muda mfupi wala simaanishi some few months....am talking about years!!

  However, maelezo yako hayakujitosheleza sana! Kama unazungumzia larger share holder, then ni tofauti na kuwa ordinary share holder!
   
 7. I

  IKISU Member

  #7
  Mar 6, 2013
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Asanteni kwa ushauli ma greate thinker,Ila @ MWANA MPEDWA umenifurahisha, (ela za mawazo!!!!!!!!!!!!)
   
 8. m

  mwana mpendwa Senior Member

  #8
  Mar 8, 2013
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ikisu, nami napenda ufurahi zaidi. Narudia kama za mawazo acha, kwa maana kwamba kama unazitegemea au unategemea faida kutoka huko kwa ajili ya kufanya shughul nyinginezo ndani ya mda mfupi. Most of people who do invest in such an investments are those with high saving capacity.
   
Loading...