Hisa za precision air

Hisa za precision air

christmas

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
2,701
Reaction score
1,281
wakuu kwa aliekua na update coz tokea ninunue yapata two yearz na risiti imepotea cha ajabu sipati update yoyote wakati niliweka address yangu.
 
Pole sana... kwa miaka miwili mfululizo mmekua mkigawana hasara na shirika, labda fastjet afunge huduma hapa Tanzania mambo yatakuwa mazur kidogo kwa wenye hisa.
 
Kamanda huu ni ulimwengu wa digital, ukingojea uletewe updates za stocks zako kwa barua utangojea mpaka Sokwe atakapokuja kuwa Rais wa Tanganyika!! Ukitaka kujua stocks zako zinaendeleaje unakwenda kwenye website ya Dar Es salaam Stock Exchange na kule ndio kwenye habari zote!!
 
kumbe na ww ni muhanga mkuu

Mimi ni muhanga ila biashara ya hisa ni sawa na biashara ya pata potea, nlinunua hisa za TBL kwa 1800 per hisa (around June 2013) na leo ni 13,710 per hisa.

So kuna kuwin na kuloose na yabd uwe tayar kuloose ndio ushinde
 
Back
Top Bottom