Hisa za crdb hasara hasara kubwa mno ! ! ! Tunaomba msaada ,,,hasara ! !hasara ! !

Nilisema hapahapa JF katika thread ya Charles Kimei kuwalipia wafanyakazi wa CRDB nauli na malazi kutoka mikoani waje Dar kwa shughuli extravagant za kidini.

You don't need to be a Joshua to see these things.

Just as you don't need to be a Joshua to know that around Eid folks around our isles tend to overload motor vessels and risk a yearly trend of marine "accidents".
duh... sawa mkuu nimekusoma

Sorry sikuona hiyo comment

My bad!!

PS: angalia wazenji wasikushukie na albadir tu mkuu, hawana dogo
 
duh... sawa mkuu nimekusoma

Sorry sikuona hiyo comment

My bad!!

PS: angalia wazenji wasikushukie na albadir tu mkuu, hawana dogo

Wazenj rafiki zangu,

Karibu nawafanya shemeji zangu kwa hiyo kama hawataki dada zao kuolewa albadir karibu.

Halafu unajua wazi kwamba mie napenda mtu anisomee albadir ili nipate nafasi ya kutamba "Al-badr done shot me, I took it in stride, watch Kiranga ride with pride and abide then hide by the wayide, cause he is like a tide, or a tidal wave,send you knaves and braves to an early grave as a fave"

Jivin, jivin.

Is it Friday yet?

Bongo hatuwezi kuwa na a stable Stock market mpaka tuwe na some semblance of a "Security and Exchange Commission".

Na hata hapo I doubt. I mean wajinga wana manipulate LIBOR, itakuwa Stock Exchange ya Dar?

And what about the Keynesian curse? In perfect gentry undertsatement from "- John Maynard Keynes, The General Theory of Interest and Employment, Ch. 12, pp. 159"

Speculators may do no harm as bubbles on a steady stream of enterprise. But the position is serious when enterprise becomes the bubble on a whirlpool of speculation. When the capital development of a country becomes a by-product of the activities of a casino, the job is likely to be ill-done.

Like you said, we are still in our version of the age of the "Robber Barons", if yknaaamean.
 
Halafu unajua wazi kwamba mie napenda mtu anisomee albadir ili nipate nafasi ya kutamba "Al-badr done shot me, I took it in stride, watch Kiranga ride with pride and abide then hide by the wayide, cause he is like a tide, or a tidal wave,send you knaves and braves to an early grave as a fave"

Siye wewe uliyerushiwa Ahlul-badr across the Pacific, ukaja hapa kusema 'imekupata'?

Sasa subiri itoke huko kwa Mkama-Ndume mwenyewe, uone kama you will take it with stride, slide or you gonna get fried

:A S tongue:
 
Tatizo mnashindwa kufahamu kwamba ukishanunau hisa ya kampuni wewe unakuwa mmiliki, sehemu ya hiyo kampuni kwahiyo ikienda chini na wewe upo ikienda juu upo.
 
Inaonekana wazi kuwa shares za CRDB ziliuzwa at Premium kubwa kiasi kwamba itachukua muda sana kurekodi above the IPO price.Na pengine pia Bodi ya wakurugenzi wanaridhika sana na mipango ya menejimenti katika maswala ya dividend policy na investment policy kiasi kwamba shareholders they dont gain significance dividends.
 
Kushuka kwa bei ya hisa is not always bad news, or more precisely, is not bad news to all. Huo ndio wakati wa kununua. Look at CRDB, do you seen any sign that CRDB will go down? if not then buy the cheap shares andnwait for the value to grow.

...Marcopolo, You are Right, It is no bad news at all. labda tatizo liko hapo anaposema kuwa wamekataliwa kuuza hisa zao. wamekataliwa na nani? Nadhani wangeachia tu mwenye hisa zake na woga, ajitose baharini kwa kuziuza.... na aje kujuta baadae zitakapopanda bei!!!!
 
Jinsi nilivyoelewa mimi ni kwamba, huyu hajanunua hisa kama yeye ila wamenunua kama kikundi (SACCOS, mutual fund etc) sasa sera ya kikundi chao ndiyo inayowakatalia kuuza hisa. Otherwise huwezi kusema hisa zimeshuka bei halafu ukasema umekatazwa kuuza, sasa bei ya nini kama kuuza hakuna!!!
 
Dear my fellow readers,
Here is my opinion before buying shares of a company-

1) Look at the number of shares getting sold.
2) The dividend policy.

Number of Shares
Kama shares zipo nyingi kwenye soko, bei lazima zita shuka. As there wont be any over-subscription plus wakati upo kwnye secondary market, small time investors will sale it quickly , in result shares will be flouded in the market !

Dividend Policy
Long term investors will be looking at that also, kama dividend haypo kabisa...na shares kwenye market zipo chache, lazima bei ZITA PANDA..
Lakini, kama inakuwa vice versa... dividend haypo..shares zipo nyingi kwenye market.. bei zita shuka lazima !

This is just my 2 piece, just sharing some knowledge regarding any the stock markets around the world.
 
Ukiwa unafanya selection ya share angalia management,financial statement,brand name.
Mkuu Chimbuvu, hivyo ulivyo vitaja ni viuongo muhimu sana, Taswira ndio soko lenyewe ila nashangaa kwanini benki hii mpaka leo haioni jina la Community Rural Development Bank, (CRDB)Bank laweza kua tatizo kwa wawekezaji nje ya mipaka ya Tanzania.
Angalizo: Mleta mada uwekezaji kwenye masoko ya mitaji kama DSE usitarajie nadharia ya kusia mbegu za mchicha.
 
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?

Kwa nini Value ya share zinashuka wakati CRDB Bank wanatengeneza huge profit every year: Nijuavyo mimi kama Company wanatengeneza profit na Company inakuwa kila leo hivyo basi share value lazima zipande. Ingekuwa leo kwa miaka mitatu value ya share ingekuwa tshs 500-700/share. Maana profit inaongezeka kila mwaka mara dufu. kama kweli hizo Bank financial statement ni za kweli au magumashi.
 
Ukiwa unafanya selection ya share angalia management,financial statement,brand name.

Ni kweli mkuu. Mimi moyo uligoma kabisa kununua hizi za CRDB. Wakati Twiga Cement wana float hisa zao sokoni nilikimbilia na nikaishia kurudishiwa kiasi fulani cha pesa maana mahitaji yalizidi kiasi cha hisa. Wakati huo zilikuwa zinauzwa kwa Tshs. 435 na leo zinauzwa Tshs.2500 kwa hisa, a good deal.
 
Kushuka kwa bei ya hisa is not always bad news, or more precisely, is not bad news to all. Huo ndio wakati wa kununua. Look at CRDB, do you seen any sign that CRDB will go down? if not then buy the cheap shares andnwait for the value to grow.

Kuna Kitu kinaitwa averaging down, Mfano ulinunua shares 1000 @ 150 wakaati wa IPO then bei imeshuka to say 75 each. If you buy another 500 shares today, then utakua na portfolio ya 1500 shares valued at market price ya 125 per share so ure loss will actually be 25 per share instead of 75 per share.
 
Ni kweli mkuu. Mimi moyo uligoma kabisa kununua hizi za CRDB. Wakati Twiga Cement wana float hisa zao sokoni nilikimbilia na nikaishia kurudishiwa kiasi fulani cha pesa maana mahitaji yalizidi kiasi cha hisa. Wakati huo zilikuwa zinauzwa kwa Tshs. 435 na leo zinauzwa Tshs.2500 kwa hisa, a good deal.

Mkuu Mashauri naomba unikumbushe hiyo shs 435 IPO ilikuwa lini angalau tuweze kutafuta growth rate yake na pia wametoa dividend mara ngapi kila baada ya muda gani na amount, compare to inflation(15%-22%) then niweze vilevile ni compare na other long term investment zilizopo na hasa tukichukulia cost of capital kwa sasa ni 28%-36% tafadhali wenye hizo data naomba msaada wenu...
 
Na BAKHRESSA kwa nini hajisajili,akauza Shares zake,nikazigombania?
 
Wazenj rafiki zangu,

Karibu nawafanya shemeji zangu kwa hiyo kama hawataki dada zao kuolewa albadir karibu.

Halafu unajua wazi kwamba mie napenda mtu anisomee albadir ili nipate nafasi ya kutamba "Al-badr done shot me, I took it in stride, watch Kiranga ride with pride and abide then hide by the wayide, cause he is like a tide, or a tidal wave,send you knaves and braves to an early grave as a fave"

Jivin, jivin.

Is it Friday yet?

Bongo hatuwezi kuwa na a stable Stock market mpaka tuwe na some semblance of a "Security and Exchange Commission".

Na hata hapo I doubt. I mean wajinga wana manipulate LIBOR, itakuwa Stock Exchange ya Dar?

And what about the Keynesian curse? In perfect gentry undertsatement from "- John Maynard Keynes, The General Theory of Interest and Employment, Ch. 12, pp. 159"

Like you said, we are still in our version of the age of the "Robober Barons", if yknaaamean.

Kiranga must have meant "Robber barons"!!
 
Ni kweli mkuu. Mimi moyo uligoma kabisa kununua hizi za CRDB. Wakati Twiga Cement wana float hisa zao sokoni nilikimbilia na nikaishia kurudishiwa kiasi fulani cha pesa maana mahitaji yalizidi kiasi cha hisa. Wakati huo zilikuwa zinauzwa kwa Tshs. 435 na leo zinauzwa Tshs.2500 kwa hisa, a good deal.

Mwaka gani umenunua? Ume figure in inflation?
 
Mwaka gani umenunua? Ume figure in inflation?

Mkuu Mashauri naomba unikumbushe hiyo shs 435 IPO ilikuwa lini angalau tuweze kutafuta growth rate yake na pia wametoa dividend mara ngapi kila baada ya muda gani na amount, compare to inflation(15%-22%) then niweze vilevile ni compare na other long term investment zilizopo na hasa tukichukulia cost of capital kwa sasa ni 28%-36% tafadhali wenye hizo data naomba msaada wenu...

Nilinunua mwaka 2006. Wamekuwa wakitoa divident kila mwaka na imekuwa ikiongezeka kial mwaka. Hapa nilipo sina rekodi ya kiasi kwa kila mwaka (niko mbali kidogo na documents) na mwaka huu sijaangalia wametoa kiasi gani maana huwa wananiwekea moja kwa moja kwenye akaunti yangu. Mwaka jana walitoa around Tshs 138 (not exact figure) kwa kila hisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom