Hisa za crdb hasara hasara kubwa mno ! ! ! Tunaomba msaada ,,,hasara ! !hasara ! !

Speculator

Member
Mar 30, 2012
56
4
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?
 
kweli mkuu hisa sa CRDB ni hasara kwa past 3.5years ila ni uvumilivu tu bora hata kule Precision, DAHACO..I support the idea.
 
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?
Ndugu yangu Speculator, ebu nipe mwanga kidogo, nani amewakataza msiuzehisa zenu? Ni CRDB, DSE, serikali ay brokers? Mmeambiwa ni kwa nini hamruhusiwi kuuza hisa?
 
Last edited by a moderator:
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?

hahahahaha ndugu yangu,what u must know 1.stock market is the field dominated by savvy investors who know the market,know the basics,2.use ur brain,if ur looking for an investment in stocks dont look for a profit with in a short term,but long term kuanzia 10 yrs etc,by the way crdb iko vizuri na wanafungua branch rwanda,REMEMBER 'THE WISE DO AT THE BEGINNING WHAT FOOLS DO AT THE END' sa hv unaona share zimeshuka am telling you investors are buying at this time as never before kiasi kwamba zikianza kupanda watu wengi watazikimbilia kuwa share za crdb zinafanya vizuri wakati investors washagain ndo wanaziuza,,eg after the IPO ya kenya airways 1992, share price went down and remained below IPO price for 9 years.how ever after 9 years the price shotup from below ten shs to over a hundred within less than a year.
 
Iwapo CRDB inatimiza mahitaji yote yatakiwayo na DSE mfano kutoa taarifa sahihi, nk; Serikali isaidie kitu gani?

Kushuka kwa thamani ya hisa kunaweza kutokana na sababu nyingi, na kunaweza kuwa kwa muda mfupi au mrefu. Biashara pia huweza kuwa mbaya kipindi fulani.

Kwa vyoyote ninyi wenye hisa ndio wamiliki wa CRDB na kwa ujumla wenu mna nguvu ya maamuzi kupitia kura katika mikutano yenu ya mwaka au mingineyo.
 
hao co wanafanya soko la hisa kuwa hivyo bali ni speculators
 
mbona CRDB wanatangaza kila mwaka kupata faida ya mabilions?

thats why nasema u must use ur brain,hauwezi ukaona kitu kinfanya vizuri sokoni then unaambiwa share zake hazina value ilhali ukiangalia investors asset iko juu
 
Iwapo CRDB inatimiza mahitaji yote yatakiwayo na DSE mfano kutoa taarifa sahihi, nk; Serikali isaidie kitu gani?

Kushuka kwa thamani ya hisa kunaweza kutokana na sababu nyingi, na kunaweza kuwa kwa muda mfupi au mrefu. Biashara pia huweza kuwa mbaya kipindi fulani.

Kwa vyoyote ninyi wenye hisa ndio wamiliki wa CRDB na kwa ujumla wenu mna nguvu ya maamuzi kupitia kura katika mikutano yenu ya mwaka au mingineyo.

Serikali kwa kupitia regulatory body yake ina wajibu wa kulilea soko hadi likomae, sababu kwanza ni mojawapo ya chanzo chake cha mapato, pili ni soko kama masoko mengine serikali inapaswa kuhakikisha pana fair trading grounds, tatu usalama wa rasiliamli za watu wake , kwani hiyo trend iliyopo inaweza kulikwamisha soko na impact yake kwa Investors na wadau wengine wa soko inaweza kuwa negative
 
tatizo elimu ya stock of exchange bdo n watu wachache wanaifaham hapa nchini huwa tunanunua tu share bila kujua tunaangukia wap
 
Kushuka kwa bei ya hisa is not always bad news, or more precisely, is not bad news to all. Huo ndio wakati wa kununua. Look at CRDB, do you seen any sign that CRDB will go down? if not then buy the cheap shares andnwait for the value to grow.
 
in general tanzania hatuna mifumo muzuri kwenye masoko ya hisa na wala si vyema mtanzania wa kawaida kuweka mayai yake huko

hii ni ya muda mrefu tu waliocheza ni wale wana-upatu wajanja walio na taarifa za jikoni miaka yote hasa enzi za nkapa
 
ulimwambia nani? au ndio u-TB JOSHUA huo

Nilisema hapahapa JF katika thread ya Charles Kimei kuwalipia wafanyakazi wa CRDB nauli na malazi kutoka mikoani waje Dar kwa shughuli extravagant za kidini.

You don't need to be a Joshua to see these things.

Just as you don't need to be a Joshua to know that around Eid folks around our isles tend to overload motor vessels and risk a yearly trend of marine "accidents".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom