Hisa DSE

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Uwekezaji kwenye solo la DSE ni hasara sana natoa mfano hisa za DCB zimeporomoka toka tshs 700 mpk tshs 340 ndani ya miaka mitatu. Hawajatoa gawio miaka mingi ame sioni kama kuna trend nzuri mbeleni maana hata kuuzika haziiuziki sokoni yuan ni mbaya tu
 
Mtu mwingine atatoa mfano wa hisa za TBL, TCC au nyingine - akahitimisha kwamba uwekezaji wa hisa ni faida.
 
Back
Top Bottom