His Lordship the Mayor for Kinondoni Municipality at Work

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
DC Makonda watch this space...
BJ4.jpg
 
Hongera zake, ila mkuu kinachohitajika kwenye Uongozi ni msuli wa ubongo na sio msuli wa kuweza kunyanyua vitu vizito!!! Meya haendi kupigana masumbwi, anaenda kupiga bongo namna ya kuleta tija kwenye Uongozi wake!!!
Of course na msuli wa mikono muhimu pale kadc mburulamburula hivi kakikuletea za kuleta unampa kitu kinauma unamuachia dental formula ya mbwa, kwani nini?!!
 
Of course na msuli wa mikono muhimu pale kadc mburulamburula hivi kakikuletea za kuleta unampa kitu kinauma unamuachia dental formula ya mbwa, kwani nini?!!

Mkuu busara za wazee zilisema "ukicheza na mjinga atakupaka mavi"!!! Angalia issue ya Mkuu wa Mkoa + RAS Mwanza, uone ukweli wa usemi huu live! Meya kwenda kutunishiana msuli wa kihivyo na Makonda, ni kujidhalilisha mwenyewe tu!
 
Tumbo kubwa hilo...fats..wanga...na carbohydrates
PWakuu wa wilaya ingefaa waweke picha wakiwa katika miradi yao kama bustani shamba nk. ili awe mfano kwa raia. kunyanyua vitu vizito kutawasaidiaje watu na uchumi wetu?
 
PWakuu wa wilaya ingefaa waweke picha wakiwa katika miradi yao kama bustani shamba nk. ili awe mfano kwa raia. kunyanyua vitu vizito kutawasaidiaje watu na uchumi wetu?

Ndio fikra zetu wengi zilipofikia kikomo....bado tuko karne ya 20 ambayo watu wenye nguvu walikuwa wanaheshimiwa sana kuliko watu wenye akili. siku hizi hata kama unakula mbuzi mzima kama kichwani ni sifuri bahati yako mbaya
 
Back
Top Bottom