Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.