Hiphop verses challenge

Hiphop verses challenge

Mkuu Scars Uzi wako huu....
Moderator naomba bato na Scars /
Nataka kumpa dozi/
Cyper za kinyamwezi/
Peke yake haniwezi/
Kibitozi au kidwanzi/
Aje nimpe cozi,newz,hizi/

au niseme basi jukwaa zima hamniwezi/
yupi anayebisha nimpe dozi kama mwizi/
akili za kitopolo,mi za Simba level hizi/
hapa Sakho hapa Chama utatoka na majonzi/
 
Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
 
"Hip hop wanamshika shika alafu hawawezi mfikisha,
Namimi ndio naifanya naihakikisha, Yani tundu limebana namimi ndio nafikicha Yani Chacha chachachachachaaaa
Elekezi shoti kwangu Yani pyopyopyopyopyooooooo
Niruhusu nitoe mbwa wangu wuu wuuwuuwu wuwuwuuuu.....,

Lord eyes... mbupu
My best rapper tz wa mda wote
 
Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.

Moderator naomba bato na Scars /
Nataka kumpa dozi/
Cyper za kinyamwezi/
Peke yake haniwezi/
Kibitozi au kidwanzi/
Aje nimpe cozi,newz,hizi/
Unajisumbua hujui mod wamelala?, hali tete wanadaiwa kodi ya pagala.../

Sieleweki natua wapi kama cross za bangala, natisha zaidi ya msukule niite de la boss manara.../
 
Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
Oya Illmatic, ebu kuwa systematic.../

Kutumia jina moja umeona sio mantiki, una badili majina kama surgery za plastic.../
 
Habari wakuu;
Hii thread kwa wale wapenda Hip Hop,unachotakiwa kufanya unashusha verse yako kalii na unayoikubali kutoka ktk nyimbo yoyte iwe ya bongo au mbele alaf mwingine aje aseme hiyo verse ni ya msanii gani na nyimbo inaitwaje,ila verse isizidi mistari minne.
Naanza na verse yangu nnayoikubali;

Kolombwea,maisha ya kuungaunga hii shughuli mi naiweza
Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedhaView attachment 2164107
NI HAYO TU, FID Q, PROF JAY & LANGA
 
Moderator naomba bato na Scars /
Nataka kumpa dozi/
Cyper za kinyamwezi/
Peke yake haniwezi/
Kibitozi au kidwanzi/
Aje nimpe cozi,newz,hizi/

au niseme basi jukwaa zima hamniwezi/
yupi anayebisha nimpe dozi kama mwizi/
akili za kitopolo,mi za Simba level hizi/
hapa Sakho hapa Chama utatoka na majonzi/
Una mistari ya kitoto, unataka shindana nami.
Na akili zako local,unadhani utamshinda nani.
Kama unataka battle,kaombe kibali mahakani.
Mi sio saizi yako,ntakupoteza na usiamini.
 
Una mistari ya kitoto, unataka shindana nami.
Na akili zako local,unadhani utamshinda nani.
Kama unataka battle,kaombe kibali mahakani.
Mi sio saizi yako,ntakupoteza na usiamini.
We kilaza nitakukaza, shika adabu mtoto wa maza/
Huna vina vya kunipoteza, labda sauti tamu kama Moza/
Kubana pua ndo unaweza, ungekuwa dem ningekukojoza/
Nyie wote nawabeza,big bro nawameza/
This time ntawafunza,muwe na heshima kwa mafaza/
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
Mc Illmatic, naona unabana pua/
Mistari haina mantik, ongeomba kwanza dua/
Mistari yako erotic, au mapenzi yanakusumbua/
Au badili topic, kwenye michano ntakuzingua/
Hili ni bom la atomic, usinitibue ntakulipua/
 
Rap inakuwa ni mikingamo
Sasa watoto wadogo
Wanajiita watu wa makamo
Wanakwenda hatua mbili, wanarudi kumi na kujipongeza
Bila kuzingatia hatua nane walizopotеza
Hao ni mafukara wa akili zao’ na uwezo wao
Wasio tambua nini na nini ni hatma zao
Ma-gwiji vichwa chini, nadhani wanatunga sheria
Lakini sheria msumеno’ isije ikawarudia
Yes! Ma- underground wanafanya Rap inang’ara
Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
 
Asante Profesa Jay, Majani na Ulamaa
Mmegusa nnapo’pataka
Name kwenye mtazamo’ na jambo nataka’ kuweka
Maana kila kukicha ma-emcees wanaongezeka
Nasema very nice!
Yes! Rap kama dhehebu
Wingi wa wasanii’ inaonesha ni dini swafi
Yaani imekubalika’ waumini tuko wengi’
Lakini bado na shaka’ sijapata uhakika
Wote tumesadiki?
Au wengine ni feki’ mmetumwa kama mamluki
 
Rap inakuwa ni mikingamo
Sasa watoto wadogo
Wanajiita watu wa makamo
Wanakwenda hatua mbili, wanarudi kumi na kujipongeza
Bila kuzingatia hatua nane walizopotеza
Hao ni mafukara wa akili zao’ na uwezo wao
Wasio tambua nini na nini ni hatma zao
Ma-gwiji vichwa chini, nadhani wanatunga sheria
Lakini sheria msumеno’ isije ikawarudia
Yes! Ma- underground wanafanya Rap inang’ara
Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
Prof Jay-mtazamo
 
Back
Top Bottom