Binafsi siamini kama tuzo ni kiashiria cha ukali wa mtu. Sema kuna fursa ambazo unakuwa umepishana nazo ikitokea haujapata nafasi ya kushiriki kwa sababu watu wengi sana, kwenye industry kutokea mataifa mengi, wanakutana hapa. Kwa upande wa fursa na biashara ni hasara ila kiukali it means nothing!Licha ya wasanii wapatao 17 kutokea TZ kuwa nominated kwenye Afrimma mwaka huu, hakuna msanii wa hiphop ambaye amekuwa nominated ?
Ni wapi wasanii wetu wa ku-rap wanakwenda kombo au hiphop inakataa kiswahili kabisa ?