Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 287
Kuna mstari anasema kwenye marap young killer ni rap flani noma kiroho safii.
Aiseee
Sasa msodoki anajua nini kwa huyo mwana....Sijawahi kumuelewa huyo jamaa!!Alivyotoka kwenye supa nyota promo ilimbeba sana....Lakini Sasa hivi anapumulia mipira....katoa collabo Hadi na Giggy Money...!na hapa ndio nilipo mshusha vyeo uwezi ,chukulia poa msodoki
Kubabake ndo hiphop hii???Ng'atang'ata ung'atwe lianzishe ufuatwee wenzako haturembi tunasaka mkatee
Baka ubwake umeme ukatwee ushikwe upakwatwe uliwee na mateee....
Huyu dogoo hatariiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitishaaa hapaushauri staki ujana ntaacha nkizeeka'
nawala kisha nafungulia sound home theater
[emoji91][emoji91]
Hakuna kitu hapoNilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k
Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k
Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana.
Ni kama unamsikiliza Meek Mill ukimsikiliza Young Lunya au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na Album yake ya DNA.
Ukisikiliza hii Freestyle seasons 2 Ni hatari.
Unadata na beat, acha kulinganisha rap ya meek mill na hicho kibana sautiNilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k
Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer N.k
Lakini huyu Mtu wa kuitwa Young Lunga na Hip Hop anayofanya ni hatari sana.
Ni kama unamsikiliza Meek Mill ukimsikiliza Young Lunya au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na Album yake ya DNA.
Ukisikiliza hii Freestyle seasons 2 Ni hatari.
Sijajua ni kwa nn ameita ni freestyle season wakati ukisikiliza hzo sio freestyle bali ni verse kuna tofauti ya verse na freestyleJamaa ni konki rapa,,,,anaxema majiran hawalali wakisikia miguno,,,
kampa shafu mimi mars na marioo
Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k