Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 747
- 399
[QUOTE"NEW NOEL, post: 15268215, member: 44297"]Kwanini uamini Billboard?
Wewe unaamini hiyo list imekamilika?
Kwanini infuential rapper kama 2PAC hawajamweka?
Kwanza hiyo list inaonekana ipo biased sana.
Nilitegemea mtu kama 2pac awepo,nilitegemea NWA wawepo.
Kwa sababu mimi ninaamini kuwa mc mkali lazima uwe CHANGE AGENT. Sasa kwa mtu kama Kendric Lamar ambaye hana hata miaka 5 kwenye peak ya muziki huu unakuja kusema ni mc mkali?
Sikatai kuwa Kendric ni mkali lakini hiyo ya kusema mcs wakali kuwahi kutokea duniani.
kwa kutomuweka 2pac bado haijakamilika...Billboard ni source makini ukitaka kupresent data za music, na hakika wamefanya research kabla ya kuja na hiyo list man.
Hapo kwenye list wanakosekana
Havoc una mpango wowote kumuenzi Don P. Haa haaa nmeona username yako ni half duo wa Mobb Deep tupe lolote kuhusu Prodigy (R.I.P)
Pesa madafu ya Jay Moe inaweza kuibadili trend ya hiphop yetu hapa bongo. Ni wimbo ambao umezua mjadala mrefu kwa wanahip hop haswa kuhusu alichofanya Moe kama ni hiphop au ni ni kitu gani kaleta. Naamini Jay Moe kuleta new sound kwenye muziki wake kutamrudisha vyema kwenye game na kutaset trend mpya maana nimeona wanahiphop wengine nao wako na mpango wa kutrap. Hii inaweza kuondoa kasumba kwamba hiphop ni ile inayopita kwenye mstari wa midundo ya East coast au Westside. Hongera sana Jay moe kwa hii track.
Alichofanya J moe ni trap na trap zinapita kwenye njia inayofanana..Sioni kama amekosea sababu naona marapa wengi wametumia mtindo huo tofauti na tulivyowazoea na wamefanya vema mfano Songa na Zaiid Mnete.Kitu kama hichi ni FULL of your FAKE PROPAGANDA nyimbo ya pesa madafu haina ART ndani yake. Ni full of samples from the scratch
The kicks,snares zinaigia MAMA I MADE IT ya cassper nyovest na hili ni kutokana na lack of creativity ya Producers na Artist wa kibongo
Jay moe anaiga hadi dancing style ya cassper
So when you say that shit again you better be right
Maana alichokifanya jay moe ni Kupunguza Tempo
SaluteAlbum bora za hiphop za muda wote.
1. Ilmatic - Nas
2. The Marshall Mathers LP - Eminem
3. All Eyez on Me - Tupac
4. Ready to Die -Notorious B.I.G.
5. The Chronic - Dr. Dre
6. Reasonable Doubt -Jay-Z
7. Straight Outta Compton - N.W.A
8. The Eminem Show - Eminem
9. Get Rich or Die Tryin - 50 Cent
10. Paid in full - Eric B & Rakim
Hii ni according ya research yangu binafsi
Mbona hamna good kid maad citySalute
Smile ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] flames
Tuongelee kidogo album ya sasa ya Jay Z iitwayo 4:44
Ambayo P Diddy anasema ni moja kati ya album bora kwenye hiphop.
P Diddy amesema “4:44 ni zaidi ya album,Ni wajibu wa msanii Kuonyesha umekua,4:44 ina fikra tofauti na mabadiliko ya jinsi tunavyo fikiria,Jay Z anaushawishi mkubwa kwangu na kwa watu wengine,Tumpe Ushirikiano na tushirikiane kunyanyua bidha zetu”
Ukiangalia hii album mashairi yake, topic alizozizungumza, midundo aliyotumia utaona ni kwa namna gani Jigga anastahili heshima na ufalme wa hiphop.
4:44 ni kama falsafa fulani inahitaji uwe na ubongo mzuri kuelewa kilichomo.
My fav kwenye hiyo album ni marcy me na story of OJ.
Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi[/QUOTE]Billboard is industry centric, kwenye hiphop you have to consider loco and underground MCs, yani pamoja na ufahamu wako kwenye hiyo list kumkosa mtu kana krs-one haikupi shaka?
Fuatilua hiphop vizuri, na hiphop ya kweli haiko billboard wala kwenye mainstream media....
Exactly[/QUOTE]Yas what you say is trueHawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi
Ata huu ni mtazamo wako pia.Afadhali umesema ni mtazamo wako.
Hakuna album kali ya hiphop kuwahi kutokea bongo zaidi ya "Ulimwengu ndio Mama" ya J Moe.
Nyimbo zote kwenye album ni classic kuanzia Bishoo, Majukumu, Misosi mitungi na Pamba etc
Kwenye wimbo bora Chemsha bongo nakubaliana na wewe.
Ila tena msanii mkali wa hiphop ataendelea kuwa Hashim Dogo.
Influence yake na ngoma zake kali, 2pac was somehow mwanamapinduzi, ana nyimbo kama whitemans world sasa unatarajia nini, si kama kutarajia media kama clouds watoe list ya wasanii wakali wa hip hop Tanzania then utarajie humo utakuta jina la Nash Mc au Nikki Mbishi, nakwambia katika hiyo list Ney wa mitego, madee wataingia teh tehNafikiri baada ya wao billboard kufanya tafiti Pac hakubahatika kuwepo kwenye list. Wewe unafikiri kwa nini alistaili kuwepo?
Mbona umenisemea sasa sijapendaAlbum bora za hiphop za muda wote.
1. Ilmatic - Nas
2. The Marshall Mathers LP - Eminem
3. All Eyez on Me - Tupac
4. Ready to Die -Notorious B.I.G.
5. The Chronic - Dr. Dre
6. Reasonable Doubt -Jay-Z
7. Straight Outta Compton - N.W.A
8. The Eminem Show - Eminem
9. Get Rich or Die Tryin - 50 Cent
10. Paid in full - Eric B & Rakim
Hii ni according ya research yangu binafsi
Kwani mkuu trap ni hip hop??