Ulishafanikiwa?habari wadau naombeni nondo za oral interview
Kama sio la glass je?Naposema picha ya passport namaanisha nyuma ya cover la simu Kama NI la glass
Not necessary fuata hint nyingine ambazo utaziwezqKama sio la glass je?
Picha ya passport kwenye kava la simu lengo lake nini?Not necessary fuata hint nyingine ambazo utaziwezq
Vizuri kiongoziAhsante kwa muongozo, ngoja waje...
Kwa Mtazamo wanguNa pia swali la "tell me about yourself" ni namna gani sahihi ya kulijibu hili swali maana kuna watu wanasema namna tofauti tofauti. Kuna mmoja kanambia unataja majina yako then unaendelea na elimu kuanzia chuo na kuendelea then mwingine ameniambia unaanza kwa kutaja majina yako kisha unaanza elimu yako kuanzia primary na kuendelea.
Kwa wazoefu, naomba mnisaidie katika hili
Kwa muktadha wa interview ya utumishi kwa maswali matano na unakuwa na dakika 15 ili swali la kwanza unatakiwa kuwa umeliandaa vizuri ili lisichukue muda wako mwingi!Na pia swali la "tell me about yourself" ni namna gani sahihi ya kulijibu hili swali maana kuna watu wanasema namna tofauti tofauti. Kuna mmoja kanambia unataja majina yako then unaendelea na elimu kuanzia chuo na kuendelea then mwingine ameniambia unaanza kwa kutaja majina yako kisha unaanza elimu yako kuanzia primary na kuendelea.
Kwa wazoefu, naomba mnisaidie katika hili