... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.Hivi mkuu hawa jamaa wanatengeneza silaha peke yake hakuna vitu vya kutumia sisi wananchi wa kawaida?
Yale ma S-300 na S-400 yanachapwa na HIMARS kama yamelala vile.Kwani air defence systems haziwezi kutungua makombora ya HIMARS? Kama ni ndiyo hizo systems za kulinda anga za nini sasa? Mwenye kujua atufafanulie kitaaluma kabisaaaaa!
Hiyo sio TOW. Hiyo Ni STARSTREAK kutoka Uingereza. Inaangusha Helicopter iliyoko Umbali wa 6Km ndani ya sekunde 3. Hii Kitu inadaka Helikopta Kama mbayuwayu anavyodaka Kumbikumbi. Rocket Yake inakimbia kwa March 6.8.Nasikia hizi TOW nazo zinapelekwa Ukraine
Hizo Ni ATACMS-3.Zinapiga 500km. Ni version Mpya ya M31 ambayo inapiga 300km. Inaingia mzigoni mwakani. Japan kaagiza Hayo Makombora 1000.Wakuu hii ni HIMARS type gani? Na hizi silaha hapa chini ni zipi?
T14 Armata
MK254
Na wengine, naomba kujuaView attachment 2358787
Tomahawk Ni Long Range Missile,zinarushwa kutoka kwenye Meli za Kivita. Zinapiga 2500km+.Urusi akipiga Nyuklia huko Ukraine,Basi Marekani anaipa Ukraine Tomahawk hata 500 uone Moscow itakavyowaka Moto.Ndio Bei yake Mkuu. Huu mfumo wala sio complex kivile ukilinganisha na mifumo mingine km Tomahawk,nk
In 2014 unit price of the M142 HIMARS was around $5.1 million. This figure included the launcher vehicle and some ammunition. Each GMLRS guided rocket costs around $160 000. So a full salvo of HIMARS costs a whooping $960 000.Sources....hadithi hadithi
Tomahawk pia zinaweza rushwa toka Ardhini.Tomahawk Ni Long Range Missile,zinarushwa kutoka kwenye Meli za Kivita. Zinapiga 2500km+.Urusi akipiga Nyuklia huko Ukraine,Basi Marekani anaipa Ukraine Tomahawk hata 500 uone Moscow itakavyowaka Moto.
Kwa kuongezea in kwamba S300 na S 400 yameundwa specific kwa kidungua makombora mazito,ndege,na helicopter ,maana kombora moja la S 300 gharama yake ni USD 1.2,sasa ukimbizane na kombora moja la himas ambalo ni dola laki 1.6 ,si kutiana hasara ,ndio maana hii mifumo haina mda na maroket ,mfano maroket ya Russia moja linakost around dola 10,000 yan ukiwa na hii mifumo ya kisasa ya kudungua makombora inabid mtulie tuu maroket yakafanye yanchoweza maana ni gharama kuyadungua,unadungua kitu cha million 20 ,kwa kutumia billion 2.5Yale ma S-300 na S-400 yanachapwa na HIMARS kama yamelala vile.
Bila kusahau . Polio , kifaduru , matetekuanga , kifua kikuu, aka TB, surua , pepopunda , tetanus, p. Nimesahau jina ile sindano anayochomwa mtu aliyebakwa, CD iliyopasuka ndani ya 72 hours asishikwe na HIV kama sijakosea inaitwa PPE .Ile sindano unayochowa kwenye bega inaacha alama .ZOTE NI MISAADA KUTOKA KWA WATAKATIFU WATU WA MAREKANI .WAARABU WANAKUPA NINI SANA SANA NI TENDE TENA ONCE A YEAR.SINDANO MOJA YA CHANJO NI LAKI 4 MPAKA 6 .ACHA USA AITWA TAIFA TEULE.... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
Hiyo inaitwa kuua nyuki kwa kifaru! Utakuwa huna tofauti na mwendawazimu! Marekani wako very intelligent indeed!Kwa kuongezea in kwamba S300 na S 400 yameundwa specific kwa kidungua makombora mazito,ndege,na helicopter ,maana kombora moja la S 300 gharama yake ni USD 1.2,sasa ukimbizane na kombora moja la himas ambalo ni dola laki 1.6 ,si kutiana hasara ,ndio maana hii mifumo haina mda na maroket ,mfano maroket ya Russia moja linakost around dola 10,000 yan ukiwa na hii mifumo ya kisasa ya kudungua makombora inabid mtulie tuu maroket yakafanye yanchoweza maana ni gharama kuyadungua,unadungua kitu cha million 20 ,kwa kutumia billion 2.5
HahaaaaHiyo inaitwa kuua nyuki kwa kifaru! Utakuwa huna tofauti na mwendawazimu! Marekani wako very intelligent indeed!
Haha mkuu namaanisha hawa lockheed hawana hata ka saa wanatengeneza ninunue mkuu.... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
Haha mkuu namaanisha hawa lockheed hawana hata ka saa wanatengeneza ninunue mkuu.... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
Hujanikwaza kabisa,wakati nasoma ndiyo nilijaribu ku recall kuwa nimesoma wapi kwanza hiyo comment.Lakini nimekuja kuona ume admit baadae tena kiungwana kabisa.Tuko pamoja sote Team Ukraine.Kwani shida Iko wapi mkuu . Sisi zote tupo upande wa Ukraine . Just a copy and paste. Mwenyewe shida hata Hana . Kama nimekukwaza pole mkuu.
Amina mtumishi wa Mungu.Hujanikwaza kabisa,wakati nasoma ndiyo nilijaribu ku recall kuwa nimesoma wapi kwanza hiyo comment.Lakini nimekuja kuona ume admit baadae tena kiungwana kabisa.Tuko pamoja sote Team Ukraine.
Anataka kuifuta Urusi kwenye ramani ya dunia.Mia 500?.yote hayo anataka ya nini sasa?.
Ni tafasiri tu Mkuu; I think. Ngoja wajuvi waje.Tofauti kati ya kombora na loketi ni nini waku
team rainbow wa huku makangalawe kila siku wanalishwa propaganda za upande mmoja zinazoibeba ukraine, halafu wanajiona washindi.Endeleeni story za Himars,wenzenu wanafukuliwa 400+ huko Izyum kwenye kaburi moja!Russia anapiga na kufukia,sensa utajifanyia mwenyewe!