Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Yeah. Sasa Poland ndo imeagiza hizo 500Duh-12,000,000,000/=
Hiyo ni moja tu?
Kwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?Yeah. Sasa Poland ndo imeagiza hizo 500
... ndio maana path ya kombora la HIMARS sio perfect trajectory; linatembea kwa kupindapinda lakini halikosei target! Dah, kuna binadamu wana akili usiombe!... hayafuati ballistic trajectory ...
Mia 500?.yote hayo anataka ya nini sasa?.Yeah. Sasa Poland ndo imeagiza hizo 500
Wanazo 20.Kwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?
Rocket/kombora moja bei gani?
Wanatumia zile USD ambazo zimepigwa tanji na Nchi za Magharibi mkuu . Mrusi anajikaanga na mafuta yake mwenyewe mkuu . Matajiri wengi wenye account wa Russia nazo zimepigwa tanji mkuu. Ndio maana nasema Huyu SHETANI Putin akikaa vibaya wanaondoka na kichwa chake . Hata Mimi Shetan Putin ananitesa sana . AlaaniweKwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?
Rocket/kombora moja bei gani?
Duh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha πππWanazo 20.
Wamepewa Kama msaada na USA.
Rocketi moja ni $110k mpaka $150k kibongobongo ni km TSH milioni Mia mbili mpaka Mia Tatu na kitu Kwa kombora moja.
Mizungu bnana!!tuipe heshima yake.... ndio maana path ya kombora la HIMARS sio perfect trajectory; linatembea kwa kupindapinda lakini halikosei target! Dah, kuna binadamu wana akili usiombe!
Hahahaa!!eti mabomba na mabati mabati!!Duh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha πππ
Yaani hilo bomba moja la mabati na makorokoro yake ni milioni mia mbili ππ
Na kwa siku huwa ni roketi ngapi zinarushwa?
Duh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha
Yaani hilo bomba moja la mabati na makorokoro yake ni milioni mia mbili
Na kwa siku huwa ni roketi ngapi zinarushwa?
πHahahaa!!eti mabomba na mabati mabati!!
Hahahaa!!eti mabomba na mabati mabati!!
Hizo ni msaada ukraine hajatoa kapewa msaada. Kimsingi zimenunuliwa kwa kutumia bajeti ya wizara ya ulinzi UsaDuh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha πππ
Yaani hilo bomba moja la mabati na makorokoro yake ni milioni mia mbili ππ
Na kwa siku huwa ni roketi ngapi zinarushwa?
Duh! Vita kumbe inatumia hela nyingi hivyo? Na watu hawasemi ππ, na nchi haifilisikiUS walikuwa wanachoma dola za kimarekani million 300 kila siku kwa miaka 20 katika vita vya Afghanistan.
Mbona Bei ndogo?Haiwezekani bhana,itakuwa zaidi ya hapo!Yeah. Sasa Poland ndo imeagiza hizo 500
Hao usa itakuwa wana hela nyingi sana ambazo hazina kazi. Wao wanaona bora wapige hela kwenye silaha ππHizo ni msaada ukraine hajatoa kapewa msaada. Kimsingi zimenunuliwa kwa kutumia bajeti ya wizara ya ulinzi Usa
Ndio Bei yake Mkuu. Huu mfumo wala sio complex kivile ukilinganisha na mifumo mingine km Tomahawk,nkMbona Bei ndogo?Haiwezekani bhana,itakuwa zaidi ya hapo!
Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .Hao usa itakuwa wana hela nyingi sana ambazo hazina kazi. Wao wanaona bora wapige hela kwenye silaha