Hilo nalo neno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hilo nalo neno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Sep 22, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tamko la asasi zisizo za kiserikali juu ya kuandaa mdahalo kwenye majimbo 120 nchi nzima linatia faraja,litaamsha watu na kusaidia kutoa elimu ya uraia kabla ya uchaguzi mkuu,hata kama chama kizee kitaendelea na ubishi wake wa kutokushiriki midahalo bado itakuwa fursa nzuri kuwaamsha wananchi kufanya maamuzi sahihi kwa mustakabali wa taifa letu,sote tujitokeze kwenye midahalo hiyo kulinusuru taifa letu na msiba mkubwa uliopo mbele yetu
   
Loading...