Hillary Clinton is done...

Hillary Clinton is done...

trump ndo atainyoosha marekani..
kwanza ana hela,hana shida na videal vidogo kama wanavyofanya kina clinton
 
Wakati Hilarry anakimbia siasa, TZ Lowassa anawatishia wakuu wa usalama wa taifa hawamuwezi na hawamfanyi chochote. Jamani TZ tumechoka

hana ubavu wa kutishia usalama wa taifa.
lowasa nae ana haki ya kugombea kama mtu yeyote mwenye sifa za kugombea
 
jamaa wako serious,hilaly akicheza anakwenda lupango badala ya whitehouse

JAJI Mkuu black woman Loretta lynch Unaambiwa hataki mchezo.huyu mama ame mreplace Eric holder.Mama alitikisha FIFA
 
Hillary alitema nafasi yake kwa obama ili ajijenge kisiasa. Ali gamble ikiwa obama ataharibu basi yeye atakua safe kutokana na lawama.
Pia ni kawaida USA ukitangaza kugombea urais. Zipo taasisi mbalimbali zinatangaza dau kubwa la pesa la atakayeweza kuibua scandle. itakayokuchafulia taswira.

Kwa mwanamke kua rais wa taifa kama USA, she got long way to go.
But huyu mama Hilary ni very intelligent woman just like Angel Merkel. Na mumewe alikua presidaa ange weza kumsapoti .
Hilary Clinton yupo kWenye jamii ya siri ya Bilderberg. Miongoni mwa jamii zenye nguvu duniani

Jeb Bush anaweza ibuka lakini record ya kaka yake George Bush iliomfanya wakasema ni rais mbovu inaweza kutumika kummaliza kisiasa.

Trump ni mambo ya tuhuma za ubaguzi tu ndio wanamhusisha nazo otherwise midahalo ndio itaamua.
Ishunkubwa USA kwasasa ni uchumi, Ajira, ulinzi, na mambo ya kijamii.
 
Hillary ni pathological lier.she lies about everything .Angalia issue ya Email .Adui wa hillary ni hillary mwenyewe.Taifa likiwa desperate na new leadership watu wanachagua the most charismatic leader.Hillary too much drama men .Hitler alichaguliwa kwa ajili ya desperation uchumi na Terror .Iddi Amini ,Sadam Hussein .seseko, Margareth thatcher,.DONALD TRUMP too much of everything huge personality.unaambiwa Usiombe uwe kwenye nyumba moja a Donald trump ,bill clinton they suck oxygen.
 
Back
Top Bottom