Waziri wa mambo ya ndani mama Hillar Clinton speach in Geneva is Muhamary Gaddaf has to step down mara moja or action will take place! News from Aljazeera!
Marekebisho kdg kwa thread yako,
Ni waziri wa mambo ya nje wa USA.
Waziri wa mambo ya ndani (HOMELAND SECRETARY) ni: Robert Gates
Waziri wa mambo ya nje (SECRETARY OF STATE) ndie: Hillary Clinton
Dikteta wa Libya jina lake la kwanza ni Muammar,
Nadhani hili Neno Speach si sahihi labda kama alikuwa anaimanisha Speak ama Speech.

Twashukuru kwa marekebisho lukuki maana ukisoma haraka haraka unaupata ujumbe ingawa unamakosa kibao
Nadhani hili Neno Speach si sahihi labda kama alikuwa anaimanisha Speak ama Speech.
yes nakubaliana na wewe Utingo kwamba Ghadafi lazima aondokena ujumbe ndiyo wa muhimu. Ghadafi maust go, hata kama ni malaika au mtume, 41 yrs in power it is too much hata kama unagawia watu kila kitu bure, demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa must take its course.
Hatujamtendea haki Ndallo. Hata Gaddaf inatakiwa iandikwe Gaddafi. Nafikiri sasa marekebisho yamekamilika!Waziri wa mambo ya ndani mama Hillar Clinton speach in Geneva is Muhamary Gaddaf has to step down mara moja or action will take place! News from Aljazeera!
Sawa Mkuu, nimekusoma!!!...Natumaini ujumbe umefika sisi ni binaadamu!