hii tabiaa ya waudumu wa mochwariii,ku fanyaa mapenzii na maitii ipo,ilaa hii case ndo ya kwanza kuisikia,palee moshi kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa zungu aka zeruzeru[sinaa mana mbaya ndo jina leke]alikuwaaa ana waduuu sanaa maitii za kikeee,watu walikuja kugundua maana wakija kusafisha maiti wanakutaa na mbegu za kiume,kote nyumaa na mbeleedunia haiishiwi vituko
huyo zeruzeru wa mochwarii alikuwaa akimuitaa mwanadada mrembo akimdenguliaa ana mwambia we utakujaa 2 hapa haipiti mwezi anakufaa akipelekwaa machwarii..naskia anamwambia,siuliringaa ana mpaa dozii akiwaa wa motooolabda alimnyima akiwa mzima?
alisimamishaje?
daah wanaume mnasimamisha hadi kifoni?
huu ni uongo na no one can prove this....hadithi za kusadikika hizi.
ngoja niweke kwny lugha rahisi sana mechanism of erection.....pamoja na factors nyingi kuwepo(ambazo sizitaji makusudi ili kuifanya iwe rahisi) ili mtu asimamishe anahitaji damu iende ikajaze sponji sponji ya uume.na hiyo damu inabidi ipitie kwenye mishipa ya damu direct from the heart.....sasa basi mtu akifa nini kinatokea kwny damu? hiyo achana nayo kwanza ni ngumu pia....ila wote tunajua mtu akifa moyo unasimama kusukuma damu,kwa lugha nyepesi pia mzunguko wa damu nao unasimama mwili mzima....kwahiyo no pumping heart ,no blood circulation ,no blood to the penis,NO ERECTION ,NO COITUS.
mimi sijafuatilia mkuu ila ni sawa nakusema maiti imeongea au imeendesha gari hapo....je ww unakubali?mkuu kwahiyo huyo mamaa alikuwa anajisingizia au?
duh....yaani mtu kafa na kasimaisha mashine?
while wenzie wapo hai mpaka wanywe viagra kwanza duh..........
Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo linadhaniwa kutokea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Mourning Glory, nje ya Lexington, Missouri.
Polisi wa mjini humo wamemshtaki mama huyo aitwaye Felicity Marmaduke kwa kosa la kunajisi na kuchezea maiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi, kiungo cha kiume cha mwili wa mtu aliyekufa kilihamasika wakati mwili ukioshwa. Taarifa zinasema, kwa kuwa mwanamama huyo alikuwa peke yake, aliamua kujamiiana na mwili huo.
Kwa mshangao hata wa mwanamama huyo, maiti huyo alitoa mbegu za kiume. Wiki chache baadaye Bi Marmaduke alijikuta ni mja mzito. Baada ya kumwambia daktari wake mfululizo wa matukio, daktari huyo aliwataarifu polisi.
Bi Marmaduke alikamatwa na polisi akiwa nyumabni kwake, si mbali sana na mochuari anayofanyia kazi. Katika tukio la kushangaza zaidi, mwanamama huyo amesema anapanga kudai urithi kutoka kwa familia ya mtu huyo aliyekufa.