Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,892
109,610
Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao kuna Utapiamlo na Wachezaji wao Wote walikuwa na Njaa + huo Utapiamlo.

Mwanamume ws Shoka ( Mumewe Mtu ) huyoooooo zake Zambia kuzichukua Tatu za huko na kuja Kumaliza Kazi hapa Nyumbani na kama kawaida yangu Kuingia Makundi ya CAFCL ambayo kuna Mpuuzi Mmoja hajaingia tokea mwaka 1998 kisha niitafute Nusu Fainali na ikiwezekana hata Fainali kabisa na kuwa Bingwa / Mabingwa wa CAFCL na siyo kuishia tu kuwa Finalist wa Kombe la Luzazi la CAFCC na kurejea na Medali za Mbao za Mtaa wa Mchikichini Ilala.

Cc: SAGAI GALGANO, Bila bila, rodrick alexander etc.
 
Wanautope wanautopolo wanakazi. Na Simba huko Zambia tukacheze mpira kazi sio simple. Those guys have had a good lesson about us, they have scientifically studied our squad, football and philosophy.
 
nincompoop
 
Idara pendwa bongo ishatuma vijana 33 kwa majukumu maalum. Bongo nyoso.
 
Roho mbaya itakuua kiazi wewe
 
Wewe ni Bwaku Ngaji.
 
hatufungwi sisi,subiri utaona
 
...... 🚨 β€Ίβ€Ί π—˜π—Ÿ π— π—˜π—₯π—₯π—œπ—˜π—ž πŸ‡ΈπŸ‡©!

Hizi ndizo mechi za mwisho za Al-Merrikh.

πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Marrikh 1 - 3 Gorilla πŸ‡·πŸ‡Ό (wamecheza jana)

πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Merrikh 0 - 1 Rayon sports πŸ‡·πŸ‡Ό
πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Merrikh 0 - 0 Otoho πŸ‡¨πŸ‡¬ β€Ίβ€Ί CAF
πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Merrikh 1 - 1 Otoho πŸ‡¨πŸ‡¬ β€Ίβ€Ί CAF
πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Merrikh 0 - 0 Rayon sports πŸ‡·πŸ‡Ό

16 September 2023

πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Marrikh ? β€” ? Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

😜😜😜😜😜

***** Makolo wanaenda kufumuliwa na Power Dynamos alafu Super league wataweka mpira kwapani.

Mtake msitake hizi ni zama za Yanga, mtateseka sana kubaki watazamaji wa mafanikio ya Yanga mpaka 2030, mafanikio mliyowahi kuyapata hapo nyuma yatabaki historia na Yanga atayavuka.

Yanga haijacheza CAF mabingwa tangu 1998 lakini kaeni kwa kutulia muone itavyofika nusu fainali, na huu ndio mwanzo wa golden Era.
 
Mimi niliota uto wanatandikwa 3-0 na naombea kwa mizimu yote ya babu zangu hilo litokee na kabla hawajarudi wapewe magonjwa ya zinaa kama kaswende na gono kutoka kwa watoto wa kinyarwanda maana hao ndiyo kama wanawafuata zaidi kuliko mechi yenyewe.
 
Yanga aliingia makundi mwaka 1998 wakati huo zikiingia timu 8 tu, ambazo ni sawa na Robo fainali ya sasa ambayo Simba anatamba nayo.

Kwa mantiki hiyo sielewi mnaposema Yanga hajawai fika Robo ya mashindano haya
Hii sio hoja Kwan mwaka Jana na Miaka mingine zilikua zinaingia timu ngap?
Vitu vingine muwe mnakubal then mseme safar hii tumejipanga haitakua kama Miaka ya nyuma ,ila kupinga Pinga ni dalili ya wivu na roho mbaya .
Kwan kukubal kuwa kwel nilifel ni vibaya?
 
Wewe waache tu na mbio zao za sakafuni watarudi kama mazombie hapa, ile kufika fainali ya kombe la vibonde wanajiona wamemaliza. Ulimbukeni ni gonjwa baya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…