Laptop yangu kwasasa nitakapoichomeka charge inaleta mawimbi mawimbi katika screen(kama inavoonekana katika picha) inanipelekea kuizima tu na kuiwasha tena maana siwezi kufanya chochote ikiwa katika hali hiyo....
Shida inaweza kuwa nini...?
Solution yake yawezakuwa nini...?
jaribu kutafuta adapter nyengine hata kwa kuazima uone, kama haitaleta hivyo inamaana adapter yako ina matatizo, kama italeta hivyo itakuwa ni pc ina matatizo.