Hili tatizo la Tamisemi nalitatuaje?

Hili tatizo la Tamisemi nalitatuaje?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Nshasajiri account ya ajira, Tamisemi since 2020.

Hivi tuna-create upya account kwa kutumia Email au nida au tunatumia zilezile za nyuma

Na sehemu ya ku-create account mbona siioni
Screenshot_20220421-181215.jpg
 
Mkuu kama umejisajili ingiza nywila na username yako fanya kuomba kazi
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
 
Naona unasambaza hii post Kama kipepe wa gazet la sani
 
Back
Top Bottom