Hili swali unalichukuliaje?? ...

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Wewe ni mwanaume;
Ni mara yako ya kwanza kukutana na mwanadada; unaanza kujenga ukaribu naye na mda unavyoenda unaona anaelekea kuwa nawe kimaongezi na kimawazo zaidi. Siku zinapita, unamvutia subira ili walau uweze kumfahamu vizuri. Siku ya siku unajaribu kumgusia suala la mambo fulani anajizungusha - at the end anaibuka na swali la hivi ......
"Kwani we una bei gani?" Utalichukuliaje swali hili?
 
Loud and clear....Unataka akudanganye. Au afanye biashara kama wale wengine, wenyewe wanaita
kuhongwa!
 

mambo flani hayo mambo gani?
 
Could be a smart way of telling you to leave her the hell alone.
 
Walengwa ni akina nani?
Hata wewe waweza toa comments zako kwenye maneno haya!

nimeona hilo swali linawahusu wanaume zaidi.

But kwa maoni yangu me nadhani ukishapewa jibu kama hilo ujue mwenzio yuko ki business zaidi.
 
Me nakichanga fastaaaa, sina muda wa kufikiri
 
Huyo anataka uwambie kiwango ulichonacho ka hutaki si unamwambia sina bei? Si lazima by the way hata nauli zimepanda.
 
Huyo anataka uwambie kiwango ulichonacho ka hutaki si unamwambia sina bei? Si lazima by the way hata nauli si zimepanda??
 
Ndo unathaminisha na kutoa bei kulingana na mzigo wenyewe

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
Anataka kujua kama wewe ni mnunuzi au la, kawaida ya wanunuzi huwa hawana muda na wapenzi wao, anakulipa mnamaliza kila mtu kivyake, haina kugandana wala kuulizana maswali.
 

Una bahati mbaya km ulikuwa hujawahi kuulizwa swali km hilo.,....sisi wakongwe tuliisha zoea na ukiulizwa hivyo hujiulizi ila unajisearch to mfukoni au km ATM yako inasoma na km sio basi una bull shit tu
 
mie nitafurahi sanaaa...maana najua hapo nagonga kwa raha zangu na hamna need ya kuwa na relationship.....atleast najua na mtu wakaribu who is a hooker
 
Ikimbieni zinaa enyi kizaz kilicholaaniwa mtateketea kama sodoma na gomola. Ghadhabu ya Mungu ipo juu yenu. Amina
 
Dunia ina mengi ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Ngoja tusubiri wachangiaji manake sina cha kucomment
 
Nitahuzunika sana kama Nimempenda kiukweli, ila nitashukuru kwasababu amenionyesha yeye ni nani haswa, ni jambo la kushukuru hilo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…