Ni zaidi ya wiki mbili nilimsikia waziri wa nishati ndugu Makamba akisema "eti" mama Samia amepunguza baadhi ya tozo kwenye petroli na dizeli ili kuleta ahueni kwa watumiaji, Sasa tangu aseme bei haijashuka hata senti.... wakati wa kupandisha huwa hamsubir kutangaza kwenye gazeti! Hivi hizi procedure za kikoloni tutaishi nazo hadi lini!! Nchi inatia hasira sana hii!!