First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Hauna stable relationship,and that will cost you later.
Makosa unayowatafutia ni yepi hayo.Thats not gud at all.Mwishoni tabia yako itajulikana,kila msichana atakukimbia.
Ni wewe mwenyewe kubadilika,na kuwa na msimamo wa kuwa na msichana mmoja.
Playing with someone fillings is very dangerous.
Maombi ni muhimu sana,hilo ni pepo la ngono linakusumbua.
Jaribu kubadilika,ukiacha,acha kama ni kijana mkubwa na umri umeenda,utampata lini mkeo?unadhan ukifikia kipindi cha kuoa na kuwafuata wale wa zaman uliowadharau watakukubali?.
Watakudharau pia.Badilika.
Mkuu sio kupenda sana bali unatamani sana. Wewe unatamani kufanya ngono
thanx, lkn mbona hata maelezo yako yanaonesha na wewe umo? Unaposema siku nikioa wale wa zamani watanikimbia una maanisha nini?
Mi nakushauri uache masuala ya mahusiano kwa sasa...
Mawili,ukiendelea,utaumiza kina dada wengi...
Na jingine unajiharibu zaidi kisaikolojia hasa juu ya mahusiano yako na kina dada na mapenzi kiujumla...
Tulia tu,utakuja kupata feelings za mapenzi ya kweli...
Nimo wapi mkuu,i have a stable relationship.Means i have one girl,i respect her,ata kama tumefanya hayo mambo.
Hizo ni tamaa tu,itafika muda utataka wa kuoa,utataka background ya mtu,and it will take a time kuwajua,Gudluk u met mtu uliyemdharau hapo mwanzo,na katika harakat u want to marry.Will she say yes??Mtu uliyemdharau mwanzoni?.Never..I have a fnd of mine,he has da same behavior like yours.
It takes him time to change,being in a new life,so,CHANGE NOW.
nitawezaje kukaa bila mahusiano ktk dunia kama hii ambayo mapenzi ndo yamerun kihaswa? Huoni kama nakuwa nalazimisha life style filani ya mtu?
you have got issues broda!Ndoa ndo tatizo nimezoea kula raha sasa kuja kuoa ni kama kujifunga