Hii website huwezi ku copy picha yeyote, sasa kwa nayetaka kunisaidia a click link hapo chini na ushuke hadi kwenye sanamu kubwa sana la manamme, mwanamke na mtoto amabo na hisi ni wa Afrika. Ni bonge la sanamu na sijawahi liona kokote.
Je liko nchi gani?
Sawa haiwezi kuwa Misri, lakini ondoa wazo kwamba Misri hakukuwa na wabantu before, historia imechakachuliwa na wazungu ndio maana tunaaminishwa vyovyote vile. Lakini kuna ushahidi tosha wabantu walikuwepo pande zote hizo.