Hili picha siyo mchezo - Kipanya

Aliyechaguliwa na Mungu

Thubutu, labda na shetani. MUNGU hawezi tuchagulia watu wanopiga ESCROW, EPA, RICHMOND na sasa wanaua viwanda vya sukari, haiwezekani kabisa!

Watu ambao wanatumia polisi na usalama wa taifa kuua waandishi nakutesa wanaotaofautiana nao ni chaguo la shetani. Ndio hawa tulio nao sasa.
 
ukawa hawana shida na urais wana shida na wabunge/madiwani
Futa hiyo kauli , labda useme kwamba UKAWA wana utaratibu maalum , huwezi kuondoa uozo wa nchi hii bila kuondoa ccm ikulu , na nakuhakikishia kwamba rais anayekuja atatoka UKAWA .
 
UKAWA hawana watu zaidi Ya Slaa, Lipumba na Mbatia
 
Mtu mmoja wa UKAWA nisawa kumi wa CCM. Nguvu ya lisu nisawa na wabunge 15 wa ccm.
siku wananchi wakisikia lisu anagombea utaona ninachosema.

CCM kuna chansi kubwa ya kutoka haraka kimaisha,ndo maana wengi wamekimbilia uko
 
Foleni ya ccm ina ulaji ndio maana wamejazana kila mmoja anataka ulaji hapo.
 
maana yake: CCM ni Hollywood movie , UKAWA ni bongomuvi.
 
Hao wa.ccm wanataka wawe rais ili wasafiri kama jeikei
 

Kilaini nae chaguo la shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…