Hili ni tatizo la wanawake...!!

Tatizo sio wivu inakera sana kukaa nyumba moja na jamvi la wageni. Nyumba inakosa heshima kabisa. Wapangaji wengine wana watoto,unadhani wanajifunza nini hao watoto zaidi ya tabia mbaya?
 
Wewe ulikuwa unajisikiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…