Habari zenu watanzania wenzangu...
naamini bado tunaendelea kupigana na maisha yetu...
eeeehee bhana..!! Kuna nyumba moja ya kupanga niliwahi kukaa mwaka jana kuna mwana mmoja alikuwa ana Fanya kazi sekta binafsi na kidogo kipato chake kilikuwa kina lipa kimtindo, ghetto la mwana kila wikiendi jumamosi na jumapili alikuwa anavuta watoto / manzi tofauti tofauti asubuhi anaingia huyu jioni saa 11 chombo kingine kimevutwa kesho yake tena mtindo ule ule eeenhee bhana mwana alikuwa anawanyoosha ile ile sasa kibaya kina kuja hwa wapangaji wengine ambao walikuwa ni wanawake wakaanza kufoka aaarrrgh huyu kaka nuksi anafanya umalaya sasa kwani akileta wanawake golini kwake / ghetto kuna ubaya gani..... ?? Wakati kodi anatoa yeye na kuwaka iwe kwa hawa mademu sasa tatizo ni nini .... ?? Ni wivu au vipi ....??
Bado nashindwa kuelewa hawa wanawake yaani papa atoe mwingine kulalamika ulalamike wewe hahahaaaaa...!! Wanawake sio wa mchezo mchezo au walitaka kutoa pap kwa mchizi...!! Ukiwa uliza mbona wanawasha moto kuhusu mchizi utasikia / huyu kaka ni malaya kila kukicha anaingiza wanawake / sasa tatizo ni nini .....??
[emoji1] [emoji2] [emoji2] WANAWAKE BHANAAA !!! AKILI ZENU MNAZIJUA WENYEWE.