Hili ni tatizo au kuna mtu anakua na hali kama hii???

Huwa ipo hvyo sio wote wanaoumia kwa mapenz wengne wanaumia kwa mambo mengne kabsa tofaut na mapenz,mm mmojawao mapenz huwa hayaniumizi kichwa kabsa
 
  • Thanks
Reactions: usy
sio tatizo kabisa kwa sababu me mwenyewe ni mmoja wapo katika kundi la watu tusioyajua maumivu ya mapenzi
pengine hatujawai kupenda 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom