Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa! Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima! sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje??????????????