Hili ni jiwe la aina gani?

Jiwe lilichongoka kama dushe
 
Mwisho mtatuletea na mavi mkiuliza hii ni aina gani ya mavi?

Hilo ni jiwe kama ilivyo mawe mengine mkuu!

Ukitaka kujua aina mbalimbali za mawe njoo Iringa Tosamaganga.
 
Hilo jiwe ndilo lile NASA Walisema litashuka kupiga Dunia.
 
aina hiyo ya mawe niliishuhudia kitambo sana wakati nasoma mgololo yalikuwepo tu barqbarani hivyo sidhani kama yanathamani maana ingekuwq hivyo yasingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…